Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu

Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma

Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"

Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"

Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19

Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
 
Naona umecharuka na NYUZI za JPM!
 
Ondoleo la dhambi linafanywa na mtu mwenyewe kwa imani ma jitiadazake. Dhambi pekee inayotolewa na mtu mwingne ni ile ya mliyoirithi toka kwa baba yenu kaini ya kumuua ndugu yake habil.
 
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu

Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma

Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"

Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"

Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19

Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
Aliowakosea Mbona hakuwaita kwanza akawaomba MSAMAHA?
Mungu hutoa MSAMAHA baada ya wewe kusamehewa na uliowakosea
 
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu

Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma

Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"

Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"

Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19

Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo
Ampumzike kwa amani mzalendo wa kweli vibaraka wa barrick hawapendi kuisikia hii!
 
Back
Top Bottom