RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,388
mkuu mimi hii serikali siipendi na naipinga kwa mengi mno....
na hapa utaona sitetei serikali bali napinga kiongozi wa dini
kutumia taasisi yake kuchochea vurugu....
siku zote tunapaswa kutetea sheria
ni bora siku zote sheria iheshimiwe..
hata kama ina mapungufu...
Nimekusoma mkuu!
Mwisho wa siku kusingekuwa na malumbano kama hatua zinachukuliwa.
Kama hakuna ushahidi wa wazi basi wafanye kama walivyofanya kwa kina Massawe kwa issue ya ujambazi 2006 na nchi ikatulia