Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Nini kiliwazuia wasimkamate kutekeleza matakwa ya sheria? kuna viashiria vya uongo kama si njama.

wewe unajua sheria?
polisi hawakamati kila mtu wanaeambiwa ni mhalifu
lazima wawe na taarifa na ushahidi wa kukubalika mahakamani....
ndo maana wapo majambazi wakubwa wa ki mafia marekani
walikuwa hawamatwi ingawa wanajulikana wanachokifanya....
fuatilia historia za kina JOHN Gotti na AL Capone na wengineo akina Lucky Luciano....
 
Nani kakurupuka? Mimi au wewe? Soma uelewe nini kimendikwa siyo kukurupuka tu. Mimi wala gari analotumia Mhashamu Policarp Kadinali Pengo silijui. Mantiki ya post yangu ilikuwa kumdhihaki jamaa aliyejibu post yangu kuwa Vague. Mimi nikasema gari la kifahari? Nikiwa na maana hiyo vague alikuwa akimaanisha Vogue? Najue vague ni kwamba haieleweki nami nikajifanya sielewi! Wapi nimesema anatumia gari la kifahari? Acha kukurupuka na kujifanya wewe ndio mkatoliki namba one. Mimi mwenzio ni mwenyekiti wa baraza la walei parokiani kwangu.

Usijidanganye ukadhani unaongea na mtu mwepesi namna ya kunitaka niamini kuwa nilikosea kwa jinsi nilivyokufikiria mwanzo. Baraza la walei ndio linatumika kuhoji uhalali wa mambo ndani ya kanisa letu ikiwa ni pamoja na kuwadiscipline viongozi wabovu katika vikao. Sasa hebu tuyarejee maneno ya Mwenyekiti wa Baraza la Walei la Parokia

"Utaratibu tuliojiwekea ni kwamba mtu ukitajwa tajwa basi unatakiwa kujivua gamba. Kwa hiyo Mhashamu Polycap Kardinali Pengo ametajwa tajwa kwenye madawa ya kulevya basi hana budi kujivua gamba asiendelee kulichafua kanisa la la mungu"
Sasa unaweza kunieleza huu ni utaratibu wa parokia yenu au wa wapi? Acha maneno ya kuungaunga. Tena jisikie mwenye mkosi kwa kujikosanisha na Mungu mapema namna hii mwaka ukiwa haujamaliza 24hrs. Kama wewe ni mkatoliki basi lazima ukiri imani yako kwa kanisa na sio kuleta majungu. Pale dhahiri ulimaanisha kulihusisha gari analotembelea Askofu na fedha za madawa, na ni kwa kuwa hujui linapatikanaje. Kama kanisa limefikia kuwa na wenyeviti wa mabaraza wa namna yako na kauli zako, basi Mungu atusimamie kwani tuanelekea kubaya.

Mimi sio mkatoliki namba one. Ila katika hali ya kuheshimu kanisa, sipo radhi kuona likichafuliwa na maneno yasiyo na ushahidi. Ni wajibu wa serikali kumkamata Askofu na kumfungulia mashtaka ili kanisa letu libakie kuwa safi. Otherwise ni uzushi na unashusha heshima ya aliyeutamka. Hatuhitaji serikali domokaya wala askofu muuza madawa.

Na bado nitaendelea kusema; Lowassa ameomba kushitakiwa kwa makosa yake anayoshutumiwa kwayo, mbona hashitakiwi? Tutumie akili zetu kama tunazo, kama hatuna tuendelee kujiita wenyeviti wa mabaraza bila aibu kwa kuwa hatujuani, ila Mungu anatujua.
 
wewe wa wapi? hapo kwenye red unaonesha ni jinsi gani unauchache wa taarifa ndani ya Taifa hili, watu wamefungwa ije kuwa listed. jipange vizuri when arguing!!!

kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, sasa kama mtu anasimama kutetea drug dealers wanaotumia jina la kanisa kwa nini na yeye asiwemo kwenye list? wewe wadhani alihamishiwa kagera kwa mazuri? ni mengi yangelipuka kama angeendelea kaa hapa dsm. all in all, pengo aache unafiki, urafiki wake wa karibu na drug dealers watia mashaka. may be wote wanachonga michongo pamoja....who knows....? watu hawawezi just list him without knowing his involvement.
 
Hii hbr imepangwa na kikundi kdg cha watu, na wamelitumia gazeti la Habari leo ambalo chuki yake dhidi ya kanisa katoliki ilidhihirika tangu sakata la Sumbawanga. CCM wameamua kufanya mchezo wa devide and rule, lakini kuna siku watajuta.

Ukweli siku zote haujifichi na chini ya Jua hili hakuna siri na ukweli ukijulikana lazima waumbuke
 
Kuna vita kubwa mbili kwa sasa.....mwenye akili wala hatakiwi kuambiwa ,moja kunyamazisha kanisa kwa ujumla wake na watu wake kwenye kukemea maovu na kushiriki kwenye siasa za majukwaani.....hasa kwenye kuonya na kukemea.....pili kujaribu kupambana na wanavyodai mfumo kristu....kujaribu kupunguza nguvu za hao wanaojidai wametawala kila sehemu...maana sasa ni zamu yetu!!!!!!

Suala sio kanisa kuhusika na madawa bali aliyetajwa ni yeye bwana Pengo,kwanini analiingiza kanisa?kama kuigonga serikali mbona viongozi wengi tu wadini akiwamemo kakobe,mzee wa upako,Rev,Mtikila n.k.mbona hawajatwa katajwa yeye,au huko katoliki kwanini wasimtaje kilaini na wengine katajwa yeye kama anavyodai maana sisi hiyo list hatujaiona so far zaidi ya kumsikia yeye akiweweseka!

Siko zote mimi huwa nasema PENGO is a disaster kwenye hii nchi,mbona akina mzee Rugambwa enzi zile hawakuipenda dunia kama yeye?halafu watanzania tusipende kutetea tetea tu hata pasipo kuwa na uhakika,pengo ni binadamu,kwani yule askofu aliyeshiriki mauaji ya kimbari rwanda ilikuwaje?si nae alikua anaheshimika kama huyu PENGO before na kila muumini alimpenda na kumuamini?lakini kilichokuja kutokea kila mtu alishangaa,lakini hatukuklihusisha kanisa lote kwa ujinga wa yule askofu,na hili la PENGO kamaa kweli katajwa kwenye madawa tuwaachie polisi wafanye kazi yao ya kuyathibitisha madai hayo kwani kutajwa tu hakumtii mtu hatiani,pengo amefanya pupa ya bure ambayo inamfanye aonekane anakosa usingizi baada y kujulikana kwa taarifa zake sasa anazitoa kabla hazijatolewa ili zikitolewa aseme mi nilisema kuna njama,huo ni ujanja wa kitoto!
 
kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE

Umesema sawa kabisa.
Alazimishe au serikali ilazimishwe impeleke mahakamani ili akasafishwe au atiwe hatiani. Vinginevyo serikali ishtakiwe kwa ama kubambikia watu kesi ama kusaidia na kulinda biashara ya madawa ya kulevya.
 
kweli akili ni nywele...lol
eti serikali ilazimishwe impeleke mahakamani...
wapi serikali imesema Pengo anachunguzwa?
si ni yeye mwenyewe anabwabwaja????
 
kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE

Watoto kuzalilishwa na kanisa ndo kigezo cha pengo kuwepo kwenye madawa?
 
Na hapa ndio tumeanza 2012 .

Hivi ile kauli mbiu ya ari mpya, nguvu mpya kasi mpya utekelezaji wake uliisha lini
 
Hizo ni scenario mbili tofauti kwani pengo anahusikaje na siasa au anaongoza chama gani; au ameshiriki kwenye siasa kama CUF?

Namuona pengo kama mchonganisha wa serikali na waumini wakristo (ionekane JK anawaonea) kumbe yeye deep inside ni mhalifu..

Anakwepa mkono wa polisi kwa mgongo wa kanisa na cheo chake ..

We are not as pathetic as you may wish us to be kiasi tuanze kunung'unika tunaonewa. Kaa maisha yako ufe na uwaachie kazi wajukuu zako kuisubiri siku ambayo utasikia wakristo wanasema 'wanaonewa'. Kama Rais anazo taarifa za kutosha kama alivyosema, na ampeleke mbele ya vyombo vya sheria na tutampongeza kwa hilo kwani na sisi tutamsifu na kumshukuru kwa kutuondolea uchafu kanisani kwetu. Kinyume na hapo ni maneno ya saluni za kike.

Tazama ulivyo, deep inside, Pengo ni mhalifu?! Uhalifu gani?Al Shaabab au Boko Haram? Kama unajua kuwa kanisa ni such a powerful institution kiasi unaweza kujificha nyuma yake usishtakiwe kwa kuuza dawa basi niambie na Lowassa anajificha nyuma ya nini asishtakiwe kwa haya wanayoyasema kina Nape nyuma yake akigeuka wanafyata?
 
Yote ya yote awe anauza awe hauzi ila ya Mungu mengi na kuna siku atadhihirisha na kuweka wazi na mmoja wapo ataumbuka aliyesingizia au aliyesingiziwa
 
wewe unajua sheria?
polisi hawakamati kila mtu wanaeambiwa ni mhalifu
lazima wawe na taarifa na ushahidi wa kukubalika mahakamani....
ndo maana wapo majambazi wakubwa wa ki mafia marekani
walikuwa hawamatwi ingawa wanajulikana wanachokifanya....
fuatilia historia za kina JOHN Gotti na AL Capone na wengineo akina Lucky Luciano....

Kiongozi kutaja majina ya marekani hakuhalalishi yanayotokea Tz.
Ungetuliza akili kidogo ungegundua kuja serikali hii 2006 ilieafikisha mahakamani kina Massawe na Raymond kwa tuhuma za ujambazi ingawa hawakuwa na ushahidi wa kuwafunga.
Kwa nini wasifanye hivyo kwa hawa maaskofu wenye tuhuma za kuuza unga???
 
Usijidanganye ukadhani unaongea na mtu mwepesi namna ya kunitaka niamini kuwa nilikosea kwa jinsi nilivyokufikiria mwanzo. Baraza la walei ndio linatumika kuhoji uhalali wa mambo ndani ya kanisa letu ikiwa ni pamoja na kuwadiscipline viongozi wabovu katika vikao. Sasa hebu tuyarejee maneno ya Mwenyekiti wa Baraza la Walei la Parokia

Sasa unaweza kunieleza huu ni utaratibu wa parokia yenu au wa wapi? Acha maneno ya kuungaunga. Tena jisikie mwenye mkosi kwa kujikosanisha na Mungu mapema namna hii mwaka ukiwa haujamaliza 24hrs. Kama wewe ni mkatoliki basi lazima ukiri imani yako kwa kanisa na sio kuleta majungu. Pale dhahiri ulimaanisha kulihusisha gari analotembelea Askofu na fedha za madawa, na ni kwa kuwa hujui linapatikanaje. Kama kanisa limefikia kuwa na wenyeviti wa mabaraza wa namna yako na kauli zako, basi Mungu atusimamie kwani tuanelekea kubaya.

Mimi sio mkatoliki namba one. Ila katika hali ya kuheshimu kanisa, sipo radhi kuona likichafuliwa na maneno yasiyo na ushahidi. Ni wajibu wa serikali kumkamata Askofu na kumfungulia mashtaka ili kanisa letu libakie kuwa safi. Otherwise ni uzushi na unashusha heshima ya aliyeutamka. Hatuhitaji serikali domokaya wala askofu muuza madawa.

Na bado nitaendelea kusema; Lowassa ameomba kushitakiwa kwa makosa yake anayoshutumiwa kwayo, mbona hashitakiwi? Tutumie akili zetu kama tunazo, kama hatuna tuendelee kujiita wenyeviti wa mabaraza bila aibu kwa kuwa hatujuani, ila Mungu anatujua.

kwani polisi wameshatoa taarifa yenye list ya majina na jina la pengo ukaliona?mi nadhani wa kuulizwa hapa ni pengo,taarifa hizo kazipata wapi na nani kamwambia?na kuhusu kanisa kuchafuliwa hilo nakataa,hata kama pengo itathibitilka kweli katajwa hilo litakua ni lake wala sio la kanisa,msichanganye mambo,Pengo sio kanisa,kile ni kiti tu amekikalia na lolote linaweza kumtokea kwa udhaifu wa kibinadamu,kwani hatujasikia maaskofu,mapadri ama hata maseikh na wachungaji wamebaka watoto,wamelawiti watoto ama wanatuhumiwa kutembea na wake za watu?ina maanakwa udaifu huo wa kibidamu tulihusishe kanisa?jamani kanisa ni mahali patakatifu lakini hawa viongozi wetu wa nyumba hizo za ibada ni binadamu,wanaweza kuteleza pia,tuwe makini wanapoteleza kuwa tenganisha na nyumba za ibada!

Huyo lowassa nae kama anaona amechafuliwa na hizo tuhuma bila kupelekwa mahakamani kwanini yeye asiende huko kutafuta haki yake angalau mahakama imsafishe?mbona milango iko wazi...anaogopa nini unadhani?na je ulitaka ccm wanaomtuhumu kwa kukosa uadilifu(ufisadi) wamfikishe mahakama kwa kukosa uadilifu au?lakini mbona wanyo kamati yao ya maadili kwa makosa kama hayo?
 
We are not as pathetic as you may wish us to be kiasi tuanze kunung'unika tunaonewa. Kaa maisha yako ufe na uwaachie kazi wajukuu zako kuisubiri siku ambayo utasikia wakristo wanasema 'wanaonewa'. Kama Rais anazo taarifa za kutosha kama alivyosema, na ampeleke mbele ya vyombo vya sheria na tutampongeza kwa hilo kwani na sisi tutamsifu na kumshukuru kwa kutuondolea uchafu kanisani kwetu. Kinyume na hapo ni maneno ya saluni za kike.

Tazama ulivyo, deep inside, Pengo ni mhalifu?! Uhalifu gani?Al Shaabab au Boko Haram? Kama unajua kuwa kanisa ni such a powerful institution kiasi unaweza kujificha nyuma yake usishtakiwe kwa kuuza dawa basi niambie na Lowassa anajificha nyuma ya nini asishtakiwe kwa haya wanayoyasema kina Nape nyuma yake akigeuka wanafyata?

Sasa kama hamko pathetic; na kama siyo mhalifu anabwabwaji nini??

Anaweweseke, na wewe hapa unatoka mapofu kumtetea aaargh
 
Mimi kama mkristu(RC) nitapenda kusikia hata kiongozi wa imani yetu anafikishwa mbele ya sheria kama kuna makosa. Nina hakika huu ndio msimamo hata wa wakristu wengi
 
Kiongozi kutaja majina ya marekani hakuhalalishi yanayotokea Tz.
Ungetuliza akili kidogo ungegundua kuja serikali hii 2006 ilieafikisha mahakamani kina Massawe na Raymond kwa tuhuma za ujambazi ingawa hawakuwa na ushahidi wa kuwafunga.
Kwa nini wasifanye hivyo kwa hawa maaskofu wenye tuhuma za kuuza unga???

nawewe unachajichanganya,sasa si ndio mana kuna mahakama,hata hili la pengo lpolisi wakijiridhisha kwani watamhukumu wao?ni wazi litapelekwa mahakamni nahuko atapata haki yake kama hamna ushahidi ni wazi mahakama itamuona hana hatia na anaweza kufungua kesi ya kuzalilishwa kwanini tunaweweseka mapema kwa mtu kudai ametajwa tu tena madai ameyatoa yeye wala sio polisi,inawezekana ni hisia zake tu pia!tusubiri tutajua
 
Leo tutasikia mengi si unajua aliyeguswa anawatetezi wengi.Hebu chukulia mtu kama Maalim Ally Bassalehe angihusishwa na hii maneno unadhani ni nini ingekuwa hatma ya mjadala? Nadhani Ingekuwa kejeli ,dhihaka na dharau si tu kwa mwenyewe Maalim Bassalehe bali kwa uuislam na waislam kwa ujumla.Kwenye huu mjadala itoshe tu kusema Jiwe likirushwa gizani atakaye piga kelele limempata,asitafutwe mchawi.
 
Kiongozi kutaja majina ya marekani hakuhalalishi yanayotokea Tz.
Ungetuliza akili kidogo ungegundua kuja serikali hii 2006 ilieafikisha mahakamani kina Massawe na Raymond kwa tuhuma za ujambazi ingawa hawakuwa na ushahidi wa kuwafunga.
Kwa nini wasifanye hivyo kwa hawa maaskofu wenye tuhuma za kuuza unga???

kama hawana ushahidi wafanyaje?
waache kuchunguza?
hawawezi kwenda mahakama hawana ushahidi
hiyo haifanyi kuweka list ya watu wa kuchunguzwa kuwa ni kuonewa
tena na mtu anaejitangaza mwenyewe kuwa yupo kwenye orodha....
 
Sasa kama hamko pathetic; na kama siyo mhalifu anabwabwaji nini??

Anaweweseke, na wewe hapa unatoka mapofu kumtetea aaargh

Inawezekana Pengo kakumbuka maneno ya JM kikwete kuwa uwongo ukisemwa sana hugeuka uwa ukweli. So yeye kama kiongozi kama kasikia jina lake Pengo linatajwa tajwa lazima na muhimu atoe tamko.
 
Back
Top Bottom