duh hivi wanaishije...! TGS D ni graduate huyo! Tunatarajia pia alipe deni lake la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu!
Ni graduate gan analipwa hyo pesa?? m n graduate mbon silipwi hizo pesa??? acheni kupotosha umma,hata certificate hawalipwi hizo pesa!!!!khaaaaaaaaa laki mbili!!!!???????
 
Mshirazi........naomba nikupe ushauri kuhusu ajira za serikali na sitaki kuzungumzia kipato ila performance yako katika kazi.

Nina rafiki yangu tumemaliza pamoja ADA anafanya kazi serikalini siku mmoja tulikutana na kuzungumza masuala ya kazi nilishangaa sana!

Utaratibu mzima wa nidhamu pamoja na kazi zenyewe si sehemu ya kwenda unless ujitolee sana kufanya kazi la sivyo utakuwa hujifunzi chochote na utakuwa huna challenge mpya we ni kwenda na kurudi siku imepotea.

Jambo zuri ambalo lipo chance ya kuendelea kusoma ni kubwa so fanya maamuzi kutokana na malengo uliyojiwekea.

Mshahara ni mdogo ila marupurupu yakikukalia sawa utaipenda kazi.

Kuhusu scale za mshahara sina idea wenye nazo watupe mwanga please!!
HUNA LOLOTE ULITAKA TUJUE NA WEWE USOMA "ADA"
 
Back
Top Bottom