Nyauba nadhani yuko sahihi, hijafikia laki 3 kwa kweli!!!


Hebu tupange budget kwa mwezi hapa
  1. Chumba kwa mwezi - 40,000
  2. Nauli kwenda na kurudi kazini - (800 kwenda na kurudi kwa siku 1 x siku 20 za kazi kwa mwezi = 16,000)
  3. Bill za maji - 10,000
  4. Umeme - 10,000
  5. Unga |mchele |maharage
  6. Mafuta ya kupikia
  7. Sukari
  8. Chumvi
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
Duh una nondo. Vipi viwango vya walimu was vyuo vikuu na taasis nyj gine za elimu kama chuo cha takwimu. Mipango nk?
 
57dd4820a78412a5eff4010dad97d527.jpg
 
Back
Top Bottom