kijanamimi
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 244
- 170
Nakataa sio kweli ni zaid ya hapo,kama pgss 6 ni m kuendelea 5 haiwez kua hioPGSS5.3 ni kama 450000 haijazidi 500000
Nakataa sio kweli ni zaid ya hapo,kama pgss 6 ni m kuendelea 5 haiwez kua hioPGSS5.3 ni kama 450000 haijazidi 500000
ni graduet wa level gan sasa???????? advance leve,certificate,diploma,au degree???duh hivi wanaishije...! TGS D ni graduate huyo! Tunatarajia pia alipe deni lake la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu!
256,000.Msaada plz
PGSS3 ni 588000 kwa sasaPGSS5.3 ni kama 450000 haijazidi 500000
Take home auPGSS3 ni 588000 kwa sasa
Take home ni 470 - 483Take home au
Sector ipi mkuuMimi nipo sErikalin,mwaka,wa,pili,sasa TGTS D1 NAPOKEA MIASITA HIV sasa kwa bongo hiii nadhan naish kibish