Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:


Mishahara ya Nimr je kuna mtu anajua. Kwa mchumi au mwasibu akiwa anaanza
 
Kuna sehemu imeandikwa mshahara ni kwa mujibu wa "Tresuary Registrar Salary Circular No.. 6 of 2015" sijui ni kiasi gani wakuu, msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom