Mwigulu Nchemba: Bajeti inakataliwa na wapinzani kwa shinikizo la nchi za Magharibi!

Hatuwezi kuyaaacha ya CHADEMA kupayuka ovyo Bungeni, tukijua kuwa wanaendeshwa kwa remote control na mabwana zao, kwa hela waliyofadhiliwa nayo.
CHADEMA imejiuza na sasa inacheza mnenguo wa wapiga filimbi wake.

Tunapoteza kabisa maana ya jukwaa hili na wachangiaji wanaotakiwa kuwapo kutokana na mawazo yao.
 
Tunapoteza kabisa maana ya jukwaa hili na wachangiaji wanaotakiwa kuwapo kutokana na mawazo yao.
You must be blind, hivi michngo ya wana JF Chadema wenzio hujaiona ?au unaona yanayokupinga tu na kuyachangia?
Kama siyo hypocrite hebu chngia na maoni haya:
Can this sort of shit come from a 1st class degree holder?
Inaonekana kabisa IQ yako iko < 70, yaani una udahifu mkubwa sana
Avatar yako inaashilia ufinyu wa ubongo wako.
wewe pia ni dhaifi kama serikali na mwenyekiti wa nyinyiemu,usituletee upuuzi wako hapa.kati ya ccm na chadema nani aliyenunuliwa???,na bado,hao wote mafisadi wenu mambo yakiwa magumu wataenda kwa kameruni kujiuza tu.pia huyo mwigulu sijui mdudu gani,tayari kashachanganyikiwa,wanataka kutumia uongo kupoteza uma ili waendelee kuiba.huyo jamaa alikuwa anatega uwaziri au unaibu,sasa wamembwaga anajaribu awamu ya nyingine.

Mkuu Cirl, hayo ni mawazo kwa uchache tu, kati ya wale wana JF Chadema wachache "wastaarabu".
Kuna wale wa matusi ya nguoni,sitawaquote, ambao watu kama nyie wala hamuwaonyi au kuwatolea maoni ya aina yoyote.
Kwa kifupi usiwe mnafiki kwa kuona unazidiwa kete, kwa kuwa nimeamua kudeliver counter arguments kwa vijana kwa lugha wanyoielewa vizuri zaidi.
 
Atuambie zile dhahabu kule Buhemba,ile Almasi kule Mwadui,Ile Tanzanite kule Mbuguni, Ile gas kule Songosongo
Tumeifaidi Watanzania?:A S embarassed:
 
Nilijiuliza maswali mengi na mpaka sasa sijapata majibu. Kubwa ni ilikuaje mtu aina ya Mwigulu akachaguliwa kuwa mbunge,na uongozi wa juu wa CCM ukamchagua kuwa mwekahazina wa chama tena chama tawala! Kitendo cha kutupa chini tena kwa dharau mapendekezo ya Kambi Rasmi ya Upinzani kilinisikitisha na kunihuzunisha sana. Na kwasababu alishangiliwa badala ya kukemewa,tunajua wote nini kilitokea kesho yake.
 
Huna point na unajiuma uma ulimi kwa vile umekosa lishe ya CCM, CHADEMA itawakondesha,shauri lako!
najuma eee,unajivuna kunenepa kwa wizi,kweli wewe mdhaifu wa kila kitu unapenda unenepeshwe,siku moja utavilipa ivo vinavyokunenepesha.mwehu kweli,unajisifia ujinga.
 
najuma eee,unajivuna kunenepa kwa wizi,kweli wewe mdhaifu wa kila kitu unapenda unenepeshwe,siku moja utavilipa ivo vinavyokunenepesha.mwehu kweli,unajisifia ujinga.
You are incoherent my dear, stark and raving.
Kama una shida huko uliko ni-pm!
 
Amezoe kuwahadaa makada wa CCM na kisha kuwapora wake zao muasherati mkubwa usiye na chembe ya haya.alafu unajiita mchumi daraja la kwanza.labda uwe mzinzi daraja la kwanza hapo tutakuelewa.
 
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kudai wapinzani wamepewa pesa na nchi za magharibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao.

Concern
Mwiguli Nchemba kapagawa sana hivi hizi nchi za magharibi rais wa CCM hivi misaada na madeni ya nchi huwa anazitoa wapi kusini, mashariki au ghuba? Mbona wana akili za kuku hawa? Hao wamagharibi nani anaye wapa raslimali kama sio serikali ya ccm?

Ccm imefirisika sera imebaki na vitisho, matusi na propaganga
Huko magharibi mwenyekiti wake anavyopapenda hata akisoma kwenye udaku wanamhitaji huwa anaacha kile anachokifanya anawasha ndege kuwahi huko
 
Leo naingia kwenye mtandao kwa mara ya kwanza kwa ajili tu ya kumuuliza Mwigulu....hivi Mwigulu una akili zenye akili? yaani nina maanisha akili zako ziko sawa? Nina wasiwasi una mtindio kama sio taahira ya akili..., nenda Lutindi au mirembe kwa uchunguzi zaidi wa akili.

Nilitarajia sana kwamba ungejibu hoja na si kuanzisha ushabiki wa mipasho ya wanawake wa kiswahili....! na sikuona tofauti yako na wanamipasho...mpaka ukatunzwa!

Umewaonyesha Watanzania wote jinsi ulivyo na upeo mdogo wa mambo ya uchumi japo unajiita economist class I. Na sijui huo usomi wako ulisome wapi ...sijui ni chini ya mti au? Wewe umeingia bungeni kwa ridhaa ya wana jimbo wako lakini hukumbuki kwamba umetumwa na wananchi.., unafikiri hiyo bajeti yenu ya kifisadi isiyo na manufaa na wananchi wa chini haitawagusa wale waliokutuma? Basi haidhuru hata ndugu zako nao ni wahanga wa bajeti hiyo mbovu isiyo na dira. Nina wasiwasi sana kuwa huna unachoelewa kuhusu uchumi wala nini....gamba wee!
 
Ulevi wa bangi ni mzuri kwa kua unakupa ujasiri wa kuamua mambo yasiyowezekana ila Ulevi wa siasa ni ukichaa usio na dawa
 
nabado kanajiita prof wa ecnmics,ningetarajia ataje ni chama gani maana wapizani ni weng bungen,wamepewa tsh ngap?na nchi gan?prof gan hufany reserch kabla ya kuropoka
 
Kufaulu darasani bado sio kwamba una uwezo wa ulichokisomea.. wengine kazi "kumeza" badala ya kujifunza na kuelewa matokeo yake ndio hayo ya kina Mwigulu.. mchumi class I lakini kichwani *****.. hebu pata picha kama ndivyo ilivyo hapo BOT, Hazina na kwingineko..
 
Kwa kifupi usiwe mnafiki kwa kuona unazidiwa kete, kwa kuwa nimeamua kudeliver counter arguments kwa vijana kwa lugha wanyoielewa vizuri zaidi.
masopakyindi, hoja hapa ni madai ya Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Iramba(CCM) kuwa wapinzani wamepewa pesa na nchi za magharibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao. Naomba unikumbushe tena hizo arguments zako kuhusu hili na unavyowazidi wengine kete.

masopakyindi, je unakubaliana na madai ya Mwigulu Nchemba kuwa Upinzani unatumiwa na nchi za magharibi kuipinga hii bajeti? Jibu hili swali rahisi halafu tuendelee, nakusubiri. Unajua wazi kuwa Wapinzani hata wakipinga namna gani, kitakachoamua hatma ya bajeti ni kura na hapo matokeo hayana ugumu wowote katika kuyatabiri.

Naomba pia nikukumbushe kuwa yote unayoyaandika hapa JF yatabaki hata kama wewe utakuwa haupo, sasa jaribu tu kujiuliza...kweli watoto wako na wajukuuu zako huu ndio ukumbusho unaotaka kuwaachia? Watajisikiaje wakisoma michango yako unayoitoa humu? Try to be fair to them, to yourself and to Tanzanians in general!
 
Mkuu Mag3, heshima mbele!
I know a Thinker when I meet one, na jibu la post yako inahitaji some facts ambazo nitaleta na kuzielezea.
Sasa hivi hapa Bongo ni saa tano usiku na nimeweka laga mbili tatu kwa hiyo nipe muda ,I'll be back.
Ila tu avatar yako ininyima usingizi, kwa vile una tombstone ya chama tawala, kilichoshika nchi sasa, na wewe uko mwaka 2015, kitu amabacho hakiwezekani.
Orient yourself.
 
Back
Top Bottom