Mwigulu Nchemba: Tanzania ni mfano mzuri wa kuigwa duniani kwa huduma bora za barabara, maji na umeme

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba.

----
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta mbalimbali kama vile afya, nishati hususani umeme, maji na elimu suala ambalo linaashiria kufikiwa viashiria vya malengo iliyojiwekea

Dkt. Nchemba amesema hayo leo, Jumanne Machi 12.2024 wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi jengo la Taaluma la chuo cha Uhasibu Arusha (Kampasi ya Dodoma) linalojengwa kwenye eneo la Njedengwa, jijini Dodoma ambapo amesema tatizo kubwa linalotukabili hapa nchini ni suala la kujidharau wenyewe kwa vile tunavyofanya, lakini uhalisia ni kwamba Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama mfano wa kuigwa miongoni mwa mataifa mengi Barani Afrika

Amesema hadi kufikia sasa asilimia kubwa ya maeneo ya nchi yameunganishwa kwa Barabara za lami, huku ajenda ya umeme sasa inajadiliwa kufikishwa kwenye ngazi za vitongoji na mtu mmoja mmoja, uwepo wa vituo vya afya kwenye kila tarafa, na suala la serikali kubeba gharama za elimu kuanzia ngazi ya awali hadi elimu ya juu ni ushahidi tosha wa kauli yake kwa kuwa bajeti ya elimu ya juu pekee inakaribia trilioni moja kila mwaka

Akizungumzia zoezi la uwasilishwaji wa mpango wa maendeleo ya Taifa na ukomo wa bajeti kwa mwaka ujao wa fedha wa 2024/25 Waziri Dkt. Nchemba amebainisha kuwa katika bajeti hiyo inayofikia trillioni 49 vipaumbele mbalimbali vimezingatiwa ambapo kati ya fedha hizo fedha za maendeleo ni trillioni 16, bajeti kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya mataifa huru ya Afrika (AFCON) inayotarajiwa kufanyika 2027 hapa nchini kwa ushirikiano wa Kenya na Uganda imetengwa shilingi bilioni 200, uchaguzi mkuu wa mwakani (2025) shilingi bilioni 600, wakati uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu (2024) ukiwekewa bilioni 300, sambamba na hilo amesema deni halisi la Taifa nje ya riba ni trilioni tano (5) lakini hata ukiweka na riba deni hilo halizidi trilioni 10 ambapo deni hilo linatokana na miradi mikubwa ikiwemo ujenzi wa reli, vivuko ikiwemo kivuko kikubwa cha Kigongo - Busisi, ujenzi wa vyuo vikuu, mabweni nk

Chanzo: Jambo Tv
 
Huyu ni mpuuzi kabisa, na mwongo mkuvwa. Anawachukulia Watanzania wote hawana akili au hawajafika mataifa mengine.

Tanzania hata ndani ya Afrika haipo hata kwenye orodha ya nchi 10 zenye network nzuri ya barabara:

Below are 10 African countries with the best road infrastructure

1South
2Namibi
3Morocco
4Botswana
5Libya
6Algeria
7Zimbabwe
8Egypt
9Cˆote d’Ivoire
10Tunisia

Source: Business Insider Africa.
 
Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba.

----
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta mbalimbali kama vile afya, nishati hususani umeme, maji na elimu suala ambalo linaashiria kufikiwa viashiria vya malengo iliyojiwekea

Dkt. Nchemba amesema hayo leo, Jumanne Machi 12.2024 wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi jengo la Taaluma la chuo cha Uhasibu Arusha (Kampasi ya Dodoma) linalojengwa kwenye eneo la Njedengwa, jijini Dodoma ambapo amesema tatizo kubwa linalotukabili hapa nchini ni suala la kujidharau wenyewe kwa vile tunavyofanya, lakini uhalisia ni kwamba Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama mfano wa kuigwa miongoni mwa mataifa mengi Barani Afrika

Amesema hadi kufikia sasa asilimia kubwa ya maeneo ya nchi yameunganishwa kwa Barabara za lami, huku ajenda ya umeme sasa inajadiliwa kufikishwa kwenye ngazi za vitongoji na mtu mmoja mmoja, uwepo wa vituo vya afya kwenye kila tarafa, na suala la serikali kubeba gharama za elimu kuanzia ngazi ya awali hadi elimu ya juu ni ushahidi tosha wa kauli yake kwa kuwa bajeti ya elimu ya juu pekee inakaribia trilioni moja kila mwaka

Akizungumzia zoezi la uwasilishwaji wa mpango wa maendeleo ya Taifa na ukomo wa bajeti kwa mwaka ujao wa fedha wa 2024/25 Waziri Dkt. Nchemba amebainisha kuwa katika bajeti hiyo inayofikia trillioni 49 vipaumbele mbalimbali vimezingatiwa ambapo kati ya fedha hizo fedha za maendeleo ni trillioni 16, bajeti kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya mataifa huru ya Afrika (AFCON) inayotarajiwa kufanyika 2027 hapa nchini kwa ushirikiano wa Kenya na Uganda imetengwa shilingi bilioni 200, uchaguzi mkuu wa mwakani (2025) shilingi bilioni 600, wakati uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu (2024) ukiwekewa bilioni 300, sambamba na hilo amesema deni halisi la Taifa nje ya riba ni trilioni tano (5) lakini hata ukiweka na riba deni hilo halizidi trilioni 10 ambapo deni hilo linatokana na miradi mikubwa ikiwemo ujenzi wa reli, vivuko ikiwemo kivuko kikubwa cha Kigongo - Busisi, ujenzi wa vyuo vikuu, mabweni nk

Chanzo: Jambo Tv
kwa nchi ilio jaaa vilaza kama hii, ni ukweli mtupu
 
Tanzania hata Zambia hatuipati kwa barabara bora,T1 yetu ni barabara mbovu na finyu mno,T2 ya Zambia imelambwa vema kuanzia Nakonde hadi Chinsali,barabara ni pana,nzuri na bora,tuanze kufanya vitu kwa ubora na SIO uwingi
 
Mwigulu cheki mateso ya wana Lindi Liwale, raia kutoka wilayani kwao kufika wilaya ya kilwa wanatumia zaidi ya saa 12 sababu ya ubovu wa barabara
 
Attachments

  • 20240310_112348.jpg
    20240310_112348.jpg
    2.3 MB · Views: 1
  • 20240310_085535.jpg
    20240310_085535.jpg
    3.3 MB · Views: 1
Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba.

----
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta mbalimbali kama vile afya, nishati hususani umeme, maji na elimu suala ambalo linaashiria kufikiwa viashiria vya malengo iliyojiwekea

Dkt. Nchemba amesema hayo leo, Jumanne Machi 12.2024 wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi jengo la Taaluma la chuo cha Uhasibu Arusha (Kampasi ya Dodoma) linalojengwa kwenye eneo la Njedengwa, jijini Dodoma ambapo amesema tatizo kubwa linalotukabili hapa nchini ni suala la kujidharau wenyewe kwa vile tunavyofanya, lakini uhalisia ni kwamba Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama mfano wa kuigwa miongoni mwa mataifa mengi Barani Afrika

Amesema hadi kufikia sasa asilimia kubwa ya maeneo ya nchi yameunganishwa kwa Barabara za lami, huku ajenda ya umeme sasa inajadiliwa kufikishwa kwenye ngazi za vitongoji na mtu mmoja mmoja, uwepo wa vituo vya afya kwenye kila tarafa, na suala la serikali kubeba gharama za elimu kuanzia ngazi ya awali hadi elimu ya juu ni ushahidi tosha wa kauli yake kwa kuwa bajeti ya elimu ya juu pekee inakaribia trilioni moja kila mwaka

Akizungumzia zoezi la uwasilishwaji wa mpango wa maendeleo ya Taifa na ukomo wa bajeti kwa mwaka ujao wa fedha wa 2024/25 Waziri Dkt. Nchemba amebainisha kuwa katika bajeti hiyo inayofikia trillioni 49 vipaumbele mbalimbali vimezingatiwa ambapo kati ya fedha hizo fedha za maendeleo ni trillioni 16, bajeti kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya mataifa huru ya Afrika (AFCON) inayotarajiwa kufanyika 2027 hapa nchini kwa ushirikiano wa Kenya na Uganda imetengwa shilingi bilioni 200, uchaguzi mkuu wa mwakani (2025) shilingi bilioni 600, wakati uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu (2024) ukiwekewa bilioni 300, sambamba na hilo amesema deni halisi la Taifa nje ya riba ni trilioni tano (5) lakini hata ukiweka na riba deni hilo halizidi trilioni 10 ambapo deni hilo linatokana na miradi mikubwa ikiwemo ujenzi wa reli, vivuko ikiwemo kivuko kikubwa cha Kigongo - Busisi, ujenzi wa vyuo vikuu, mabweni nk

Chanzo: Jambo Tv

Jamaa ana dharau kweli.... Ila hakumzidi Magufuli, where is Magufuli now?
 
Yaani hana akili wala haya.

Nilitembelea nchi moja duniani huko nikawakuta wabongo idara au sekta ya maji wakifunza kutap na kutibu maji tayari kwa mtumiaji. Ilikuwa mwaka 2005 wakijifunza namna nzr wanazofanya wenzetu kuhudumia binadam maji.barabara afya nakadhalika cha ajabu hadi sasa maji hakuna na yakitoka mtu ukiyanywa direct kutoka bombani typhoid na magonjwa mengine ya matumbo yatakuhusu. Leo unawadanganya watanzania?

Huo mfano wa kuigwa huko duniani hujauon?
 
Back
Top Bottom