Mwigulu Nchemba: Bajeti inakataliwa na wapinzani kwa shinikizo la nchi za Magharibi!

CCM watakuwa na vichaa na hofu kubwa sana juu ya chadema.Huwa ktk masikio yao hoja za chadema zikisema wanazisikia kwa sauti kubwa sana.Inaelekea hawajui tofauti ya nguvu ya hoja na nguvu ya sauti.Poor akili ndogo inayotaka tawala akili kubwa
 
Kwani mkuu wa kaya anaendaga kuomba wapi? siyo Marekani, Uingereza, Ujerumani na nchi nyingine za magharibi?

Mkuu hebu jaribu kureason kidogo!
CDM wanafadhiliwa na Conservatives huko majuu,hel ya bajeti wameipunguza sana kwa nji hii.
Sasa pengine utueleze kuwa kila trip ya JK ni ya kwenda kuomba msaada, sioni uhusiano wa mashambulizi ya kustukiza , kama ya Mnyika na kuomba misaada toka kwa wahafidhina.
 
Unajua bwawa la Kambale linapoanza kukauka uwa kuna mtafaruku mkubwa sana bwawani. Tutarajie mengi kutoka kwa jamaa kama hawa
 
Hivi inakuwaje mapato yako kwa mwezi ni Tsh 100,000 lakini matumizi yako kwa mwezi ni 200,000??

Hii ndiyo Tanzania ya ccm, Mapato ya ndani kwa mwezi Trillion 8 matumizi Trillion 10. Tunaishi kwa kukopa mpaka kwenye matumizi yatu ya ndani.

Hata uwe na uwezo mdogo kiasi gani wa kupambanua mambo huwezi kushiba kiasi kwamba ukasahau kuona huu upunguani wa chama tawala, CCM wapi mnatupeleka?? Shame on you.
 
Mwigulu amepata uchizi na kikubwa anatumika vibaya sana na kibaya zaidi haijui CCM kuwa wakimaliza kumtumia watamtupa kama ganda la muwa ajitambui
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom