Mwigulu Nchemba: Bajeti inakataliwa na wapinzani kwa shinikizo la nchi za Magharibi!

Unamuongelea Mnyika yupi?
Yule anayetekeleza ya wafadhili wake kwa kumtusi Mkuu wa NChi?
Kama utaomba kuvalishwa nguo na mgeni tena chumbani kwako wakati mke wako yupo sebleni.
Tunasema kuwa, kama siyo dhaifu wewe ni kichaa.
Sasa mnyika hakukosea kusema JK ni dhaifu tena hakumtusi.
 
Inawezekana ww ndo bwna mdgo! I dont belong to the age u might think! a learned i know the learned responsibilities!
 
Masopakyindi! Unaweza kuttea shinikizo la nchi za maghalibi ukiwa kwenye perfect sense! Ndio maana nimeulza haiba yako!
 
Ha ha ha!!! unanichekesha bwana mudogo!
In every argument there is a different view, ama sivyo ingekuwa zidumu fikra za CHADEMA , kama wenzako wanavyofanya sasa bila kujiuliza kule zinakotoka fikra hizo.
Mind you, kuna mtu maaarufu alisha sema "kwenye kichaka kilicho na nyoka,tia kiberiti na nyokawatatoka mmoja mmoja"
Kazi kwako malafyale!!!
Vichaka vipo vingi kweli kuanza Arusha, Chato, Moshi Mtwara na kwingineko, nyoka wanakimbia hadi wenye vichaka vyao wanalalamika BUNGENI kuwa sasa kiberiti cha jimbo moja (MBOWE) kinageuka cha nchi nzima.
Hii ni baada ya kwenye kichaka chake kutoka nyoka watano (MADIWANI) waliomsaidia kushinda.
 
Sina hakika kama kusoma (kwa maana ya kuingia darasani) kunaondoa ujinga wa asili. Sitegemei kama mtu mwenye akili timamu anaweza kusema maneno kama hayo badala ya kutetea hoja!!!!!
 
nchi za magharibi zimejiwekea mizizi kote ccm na cdm labda ccm wamegundua sasa hivi hao waliofikiri ni watetezi wao vilevile wanamsaidia adui yao pamoja na kweli cdm wanasaidiwa na nchi za magharibi alitakiwa kutuonyesha utofauti namna wao walivyolinda rasilimali zetu ambazo zinaendelea kuporwa na hizo hizo nchi na siyo kutuletea maneno ya khanga
 
Masopakyindi! Use ur brain not your emotiins! Mnalipeleka taifa siko! Watu wanaliibia hili taifa zaidi ya mnavvyojua!
 
Ukiwa unafanya kazi za mtulinga kama kubeba mizigo sokoni halafu ukawa bingwa wa matusi na kejeli watu hawatakushangaa kwani mazingira ya kazi yako yanaruhusu. Ukiwa mfanyakazi wa benki, ukawa unatoa matusi kila mtu atakushangaa kwani utakuwa unaharibu si tu taswira yako bali ya mwajiri wako pia. Ukiwa ni mwakilishi wa wananchi, diwani, mbunge, rais n.k ukawa bingwa wa matusi na vitendo vya aibu kwa jamii yako, si tu kwamba unajidhalilisha mwenyewe, bali unawadhalilisha na kuwafadhaisha wale waliokupeleka huko kuwawakilisha. Sasa ndugu spika, tunaomba mwongozo. Mwigulu alete ushahidi wa hizo nchi zinazotoa pesa kwa CDM ili ziibe utajiri wetu.
 
Masopakyindi! Unaweza kuttea shinikizo la nchi za maghalibi ukiwa kwenye perfect sense! Ndio maana nimeulza haiba yako!

Mkuu wangu,watu kama masopakyindi wakati mwingine huwa wanaamua kwa makusudi kuweka rehani akili zao ilimradi watetee upuuzi ambao hata bongo zao zinakuwa hazikubaliani na kile mdomo unachosema.
 
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kudai wapinzani wamepewa pesa na nchi za magharibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao.

Concern
Mwiguli Nchemba kapagawa sana hivi hizi nchi za magharibi rais wa CCM hivi misaada na madeni ya nchi huwa anazitoa wapi kusini, mashariki au ghuba? Mbona wana akili za kuku hawa? Hao wamagharibi nani anaye wapa raslimali kama sio serikali ya ccm?

Ccm imefirisika sera imebaki na vitisho, matusi na propaganga

Nchemba does not get it at all!! JK anapozunguka ulaya na Marekani na kofia mkononi akiomba misaada kwa hilo nchi za magharibi ni nzuri!! leo hata kama wameinfluence maoni ya kambi ya upinzani wana interest halali ya kujua pesa za walipa kodi wao wanaochangia bajeti yetu zinatumikaje, Nchemba asimungunye maneno, azitaje hizo nchi husika.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mwigulu Nchemba hana tofauti na Kibwetere. Serikali yake inaendeshwa na nchi za Magharibi, kuanzia vyandarua vya mbu hadi matundu ya vyoo! Serikali ya CCM imeiweka Tanzania kwenye nafasi ya tatu duniani kwa kupokea misaada, leo anasema nini?

Na kama ana uhakika na anachosema ajibu yafuatayo.

1. Kwa nini Spika wa bunge ametangaza kuwa mjadala wa bajeti utahitimishwa mwisho wa kikao cha bunge mwezi August na sio week hii kama ilivyo desturi?

2. Kwanini Waziri mkuu ameuda team ya mawaziri/naibu waziri 6 ili waiangalie upya bajeti?

3. Ataje nchi magharibi zinazoshinikiza wapinzani ili waikate bajeti?
 
Ukiona mtu kazidiwa atatoa lawama kwa mwingine kwa kila kitu anachoambiwa bila kuzingatia ukweli wa anachoambiwa. Hii inanikumbusha kikatuni kimoja kilichokuwa kinamhusu George Bush kumhusisha Osama kwa kila kitu anachoambiwa au kukiomba baada ya Osama kuishambulia WTC. Kikatuni kilimweleza BUSH kwamba mke wako(wa Bush) ni mjamzito yeye akajibu haraka kwamba aliyempa mimba lazima atakuwa ni OSAMA tu. Nadhani CCM wameshikwa pabaya, ni wa kuhurumia tu
 
Niliposikia nchemba kasoma UDSM sikuamini.Hivi inawezekana vipi kwamba human capital ni moja ya invetment(development) variables wakati ikiwa imewekwa upande wa recurrent expenditure nilimshangaa sana, kwani kama kweli human capital ni investment iweje waliiweka upande wa recurrent???? bogus nchemba halafu eti anasema ndiyo inayofanya kuwepo na 35% nilimshangaa kama kweli ni mchumi.
 
Yaaani natamani kulitukana hilo lijinga ila ban sasa, punguani kabisa.
 
Nchemba naona sasa kapoteza mwelekeo, mawazo yake haya yamekosa akili ameamua kuropoka, naona Mh Zitto Kabwe kamuumbua sana jana TBC
 
Iposiku wananchi tutaanza kuwacharaza viboko wabunge wetu jamii ya Mwigulu. '' Eti anasema kukataliwa kwa bajeti ya 2012/13 ni shinikizo kutoka nchi za magharibi!!!.Huu ni upumbavu wa kupindukia. Hivi Mkubwa wake anavyoenda enda nje kuomba kama mtu mwenye ukoma tusemeje?!! Unajua viongozi wengi wa CCM siasa imeanza kuwashinda na wameshajua kuwa CCM inakufa sasa wanaparanganya wasife nayo(mfa maji haishi..................). Mimi nazani Kama mtu umeshindwa siasa ni bora kukaa pembeni. Yaani haw kina Mwigulu na kina Lusinge Sura Zao ni kama za vichaa tu!Hivi hawaoni wabunge wenzao waupinzani wanavyo changia na wananchi tunawakubali?!! Kitu kizuri ni kwamba siku hizi mambo yote mchana kweupe. TV zinaonyesha kwa hiyo tunajua Mbivu na Mbichi. NASIKITIKA KUMBE TANZANIA INAZIDI KUFA KIUCHUMI KWA SABABU YA KUWA NA WACHUMI KAMA KINA MWIGULU CHEMBA ZA MAVI. Yeye badala atoe hoja kwa maslahi ya wananchi wake wa iramba ambao ni maskini wa kutupwa? Anabaki kutetetea upumbavu!!!.
 
Mbunge wa Iramba ametoa jipya tena na kudai wapinzani wamepewa pesa na nchi za magharibi ili kupinga bajeti na ili wapate nafasi ya kuiibia nchi raslimali zetu na kuzipeleka makwao.

Concern
Mwiguli Nchemba kapagawa sana hivi hizi nchi za magharibi rais wa CCM hivi misaada na madeni ya nchi huwa anazitoa wapi kusini, mashariki au ghuba? Mbona wana akili za kuku hawa? Hao wamagharibi nani anaye wapa raslimali kama sio serikali ya ccm?

Ccm imefirisika sera imebaki na vitisho, matusi na propaganga

Anasahau kuwa CCM iko madarakani kwasbabu ya mataifa ya magharibi yanayotuibia kila kitu na kum-petty petty mwenyekiti wa ccm

Mwigulu should have known better....
 
Back
Top Bottom