Mwanza: Ngome imara ya CHADEMA - Picha & Video uzinduzi wa campaign 11/3/2012

...ata yeye mwenyewe Zitto hakuamini kuuona umati mkubwa ulioufika ktk viwanja vya Magomeni kushuhudia uzinduzi wa kampeni za udiwani za mgombea wa CDM,kama utakumbuka Zitto wakati anamwaga sela aliuliza hivi(namnukuu)..."jamani hivi hizi kampeni ni-zakumgombea uraisi au udiwani?"(mwisho wa kunukuu)...aliyasema haya baada ya kuuona umati kubwa uliojitokeza hapo Magomeni Kirumba Mwanza...
Mkuu hayo maneno uliyonukuu ni ya kweli kabisa, uki click hiyo link hapo juu inakupeleka kwenye video yenye maneno hayo
 
Ngw'ana Nseke Kirumba vipi

Mkuu...Kampeni za kitanda kwa kitanda,nyumba kwa nyumba na zile za mtaa kwa mtaa zinaendelea kama kawaida chini ya makamanda Highnes mbunge wa Ilemela na Mheshimiwa Machemuli mbunge wa Ukerewe...Wataongoza mapambano mpaka siku ya uchaguzi.
 
Watu ni wengi kwa kweli na inatia moyo. Lakini swali linakuja hawa watu wamejiandikisha kupiga kura?
 
Katika jiji la watu millioni mbili wewe bado unahesabu wanaokusanyika mikutanoni tu bila hata kujua itikadi zao. Hebu twendeni mstari mmoja mbele zaidi sema una wanachama/ wafuasi/ ofisi ngapi Mwanza?
 
Back
Top Bottom