Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,357
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa kushindwa kujibu hoja.
Nilichobaini ni kwamba, Wananchi walipunjwa sana kwa kitendo cha kuzuia Mikutano ya hadhara, na wana kiu mno ya kusikia hoja tofauti, yaani mtu mmoja tu alitaka asikike yeye tu peke yake yaani, huu ulikuwa ubinafsi wa Aibu sana!
Hongereni sana wakazi wa Mwanza, Sisi Chadema tunawaahidi Spana za uhakika, Msiwe na wasiwasi.
Mungu ibariki Mwanza.
TETESI : HUENDA TUNDU LISSU AKAUNGANISHA KANDA YA VICTORIA KWA CHOPA ILI KUONGEZA NGUVU
Tuendelee kuitegea sikio JF kwa taarifa zaidi .