Picha bora ya Mwezi Julai yapatikana Chanika kwenye Mkutano wa hadhara wa John Mnyika, Shangwe zatawala

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,785
218,411
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga kiliandaa Mkutano wa Hadhara huko Chanika, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika ndiye aliyekuwa mtoa mada. Jambo kubwa lililozungumzwa hapo lilikuwa KATIBA MPYA.

Hii ni kwasababu Katiba mpya imetajwa kuwa ndio dawa pekee ya hii mikataba mibovu inayodhalilisha Wananchi.

Bali jambo kubwa lililogusa hisia za wengi ni Kupatikana kwa picha bora ya Mwezi wa 7, 2023.

Hebu Jionee mwenyewe.

FB_IMG_1689538965821.jpg
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga kiliandaa Mkutano wa Hadhara huko Chanika , Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika ndiye aliyekuwa mtoa mada , jambo kubwa lililozungumzwa hapo lilikuwa KATIBA MPYA .

Hii ni kwasababu Katiba mpya imetajwa kuwa ndio dawa pekee ya hii mikataba mibovu inayodhalilisha Wananchi .

Bali jambo kubwa lililogusa hisia za wengi ni Kupatikana kwa picha bora ya Mwezi wa 7 , 2023 .

Hebu Jionee mwenyewe

View attachment 2690286
Kabla ya kupatikana KATIBA mpya, police Si Rafiki Yako,

Angekuwa Rafiki Yako, asingezuia maandamano Dar kuhusu Bandari.

Amri Huwa ikishatoka, ni utekelezaji.

Police Si wanasiasa, tusijitafutie sifa za kijinga.
 
Polisi wa watu kupumzika kwenye hiyo bodaboda ndio umeona ni habari? Kinachokupanikisha ni hiyo bendera? Chadema mmefikia akili hizi kweli? Siamini.
 
Back
Top Bottom