Mwanza: Ngome imara ya CHADEMA - Picha & Video uzinduzi wa campaign 11/3/2012

Ila hawa wote wahakikishe kwamba wamejiandisha kupiga kura, sio kushabikia tu.
Mtaji mkuwa wa CCM ni kwa hao wanaojaa mikutanoni na hawapigia kura.
 
Hizi picha zinaongea kuliko maneno.

Ukiona watu wote hawa wanaitikia mwito wako bila Fuso, tshirt, kanga wala kofia ujue kuna kitu wanahitaji na wanaamini utawasaidia kukipata.

Kazi kwenu CDM kujua namna ya kutumia fursa
 
video ninayo lakini sijui kuna tatizo gani leo JF kwenye masuala ya attachment! yeyote anayeweza kusaidia juu ya ufumbuzi wa tatizo plz?

itume kwenda support@jamiiforums.com. wataiweka wenyewe tena kwa ustadi wa hali ya juu.
 
Uzinduzi wa Campaign za urais au udiwani??? Mwanza nimewakubali!
Jionee mwenyewe... Peopleeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzz zzzzzzzzzzzzzzzzzz
View attachment 49101 View attachment 49102 View attachment 49103 View attachment 49104 [video]http://yfrog.com/17yuhz[/video]


Hawa hawajasombwa na mafuso ila wamekuja kwa utashi wao kwa chama makini. CCM hapo hamwezi mkacopy na kupaste hapo manake utashi haupo. bila kuchinja ming'ombe watu hawaji kuwasikiliza manake hamna jipya.
 
Tuashumu hawa wote wamejiandikisha,na watapiga kura.
TOT plus hawakuwepo uwanjani,
Hizi sio picha za mwaka 2010.
 
chadema kwanini mnawatesa ccm kiasi hiki?watakimbilia wapi jamani?mwanza hivi,arumeru wanaona moshi tu,kigamboni wanatafutana ubaya...daaah ccm inakufa na tai shingoni...
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom