Mwanza: Ngome imara ya CHADEMA - Picha & Video uzinduzi wa campaign 11/3/2012

nice 2

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
747
520
Uzinduzi wa Campaign za urais au udiwani??? Mwanza nimewakubali!
Jionee mwenyewe... Peopleeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzz zzzzzzzzzzzzzzzzzz
Kirumba 2.jpg kirumba 1.jpg kirumba 4.jpg kirumba 5.jpg [video]http://yfrog.com/17yuhz[/video]
 
kweli chadema ni kimbilio na mkombozi wa wanyonge' jamani kama mpo humu wana tabora wenzangu; plzzzzzzz mnatakiwa muige uzalendop wa watu wa mwanza so as 2015 tuje tufanye mabadiliko kwa pamoja na tumuondoe al shababu msomari rage' bravo zitto nd long live chadema.
 
tunaomba usituangushe kuhusu hiyo video kwa maana tuliaidiwa video au audio ya hotuba ya ufunguzi arusha mpaka leo hatujaiapata
video ninayo lakini sijui kuna tatizo gani leo JF kwenye masuala ya attachment! yeyote anayeweza kusaidia juu ya ufumbuzi wa tatizo plz?
 
Sawa mkuu, naona rocky city for changes!! hakuna kurudi nyuma! Lazima majimbo yaliyosalia yakombolewe kwa mwendo huu!! si mchezo
 
Aiseeeeeeeeeeeeeee....:cool2:

Magamba yanatamani dunia ipasuke lol..:A S 13:
 
vijana wengi wa mwanza wameanda sana shule ndo maana wanafahamu ni chama gani kitacholeta maendeleo
 
Hili kundi inhabidi lishibishwe kwa hoja na kuingiziwa uzalendo vichwani mwao. Nimeipenda hii!!
 
Duh Kweli mapinduzi ya kifikra sasa yamefka kwenye level yake duh hii inatia moyo sana hongereni Chadema
 
Back
Top Bottom