Vigogo wa CHADEMA waanza kuwasili Mwanza kwa Ajili ya Uzinduzi wa Mikutano ya hadhara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,759
218,378
Hatimaye Jiji la Mwanza limeanza kupendeza tena na kuheshimika tena kama zamani , baada ya watu wenye Ushawishi nchini Tanzania kuwasili kwa ajili ya uzinduzi wa Mikutano ya hadhara .

FB_IMG_1674056357977.jpg

Kwa mujibu wa Mashuhuda , inadaiwa kwamba watu wengi maarufu wameanza kuwasili tangu jana , huku wakitajwa kuwa miongoni mwao wamo Vigogo wa Chadema , ambao wanatarajiwa kukiwasha jukwaani siku ya Uzinduzi huo kabambe unaotajwa kuvunja rekodi ya BARA LA AFRICA .

FB_IMG_1672921103951.jpg

Ngoja tuone itakuwaje .
 
Hatimaye Jiji la Mwanza limeanza kupendeza tena na kuheshimika tena kama zamani , baada ya watu wenye Ushawishi nchini Tanzania kuwasili kwa ajili ya uzinduzi wa Mikutano ya hadhara .

View attachment 2488144

Kwa mujibu wa Mashuhuda , inadaiwa kwamba watu wengi maarufu wameanza kuwasili tangu jana , huku wakitajwa kuwa miongoni mwao wamo Vigogo wa Chadema , ambao wanatarajiwa kukiwasha jukwaani siku ya Uzinduo huo kabambe unaotajwa kuvunja rekodi ya BARA LA AFRICA .

View attachment 2488147

Ngoja tuone itakuwaje .
Akili ni nywele majani yana moshi unapalia kweli kweli!
 
Wanamwanza ni wakati wenu kuwaadhibu wahuni wa siasa CHADEMA,Sioni haja ya wanamwanza kuhudhuria mkutano wa kipuuzi kama huo!!
 
Hatimaye Jiji la Mwanza limeanza kupendeza tena na kuheshimika tena kama zamani , baada ya watu wenye Ushawishi nchini Tanzania kuwasili kwa ajili ya uzinduzi wa Mikutano ya hadhara .

View attachment 2488144

Kwa mujibu wa Mashuhuda , inadaiwa kwamba watu wengi maarufu wameanza kuwasili tangu jana , huku wakitajwa kuwa miongoni mwao wamo Vigogo wa Chadema , ambao wanatarajiwa kukiwasha jukwaani siku ya Uzinduo huo kabambe unaotajwa kuvunja rekodi ya BARA LA AFRICA .

View attachment 2488147

Ngoja tuone itakuwaje .
Hakuna kitu hapo. Hamuiwezi CCM
 
Back
Top Bottom