Mwanza: Ngome imara ya CHADEMA - Picha & Video uzinduzi wa campaign 11/3/2012

Mkuu bora lipotee jimbo la Arumeru na si kata ya Kirumba...tumejizatiti vilivyo na hakuna kura itakayoibwa..
Mkuu mwaka huu hakuna jimbo la kupotea. Ule umati wa uzinduzi wa campaign za ubunge CCM jana hata haukufikia huu wa udiwani Mwanza
 
Nyie hamjui wasukuma sio? Msimu wa pamba ukiisha watu hawana kazi,hata shibuda au Lema wakienda watu watajazana.
 
Nyie hamjui wasukuma sio? Msimu wa pamba ukiisha watu hawana kazi,hata shibuda au Lema wakienda watu watajazana.

Mifano uliyotowa yote ni irrelevant maana wote hao ni CHADEMA, labda utoe mifano ya CCM!
 
Nyie tatizo lenu ni bado hamjamuelewa msukuma, huoni shibuda anavyo wasumbua?
Wasukuma haohao ndio waliomwaga Masha na Diallo bila kujali nguvu kubwa ya dola iliyotumika,sasa unatueleza nini?
 
Wasukuma haohao ndio waliomwaga Masha na Diallo bila kujali nguvu kubwa ya dola iliyotumika,sasa unatueleza nini?
Masha na Dialo sisi ndio tunawajua vizuri, CDM ingemsimamisha hata mbuzi,angeshinda. Hapo sio tatizo CCM, tatizo lilikuwa hao wapuuzi wawili, mimi binafsi ni CCM na sikumpigia kura Masha.

Ndio nakwambia CDM bado haijawaelewa Wasukuma, na 2015 ndio mtajua nini nasema.
 
Nyie hamjui wasukuma sio? Msimu wa pamba ukiisha watu hawana kazi,hata shibuda au Lema wakienda watu watajazana.

Utukome wasukuma,wakati tunamfurusha Masha na Diallo ulikuwa ni msimu wa pamba na watu walifanya kweli. Tulia kama unanyolewa hii ndio Rock City bwana.
 
Masha na Dialo sisi ndio tunawajua vizuri, CDM ingemsimamisha hata mbuzi,angeshinda. Hapo sio tatizo CCM, tatizo lilikuwa hao wapuuzi wawili, mimi binafsi ni CCM na sikumpigia kura Masha.

Ndio nakwambia CDM bado haijawaelewa Wasukuma, na 2015 ndio mtajua nini nasema.

Nani kakwambia utusemee wasukuma,aisee hebu kaa pembeni hii ngoma ya wakubwa "sagala gete wanya bageshi"
 
Utukome wasukuma,wakati tunamfurusha Masha na Diallo ulikuwa ni msimu wa pamba na watu walifanya kweli. Tulia kama unanyolewa hii ndio Rock City bwana.[/QUOTE

Na wewe mkerewe umekuwa msukuma? Iko kazi, jaribu kusoma vizuri ndio uelewe nini nimesema.
 
Masha na Dialo sisi ndio tunawajua vizuri, CDM ingemsimamisha hata mbuzi,angeshinda. Hapo sio tatizo CCM, tatizo lilikuwa hao wapuuzi wawili, mimi binafsi ni CCM na sikumpigia kura Masha.

Ndio nakwambia CDM bado haijawaelewa Wasukuma, na 2015 ndio mtajua nini nasema.
Na wale madiwani wa kata kadhaa walioangushwa na kusababisha council kuongozwa na CDM ilikuwaje?au kata zile hawaishi wasukuma?
Hata hivyo tathmini yako ina mapungufu makubwa,Mwanza ni jiji linaishi makabila tofauti hivyo kuwahusisha Wasukuma pekee na uchaguzi si kuwatendea haki.Hata wakwere wapo Mwanza
 
Utukome wasukuma,wakati tunamfurusha Masha na Diallo ulikuwa ni msimu wa pamba na watu walifanya kweli. Tulia kama unanyolewa hii ndio Rock City bwana.[/QUOTE

Na wewe mkerewe umekuwa msukuma? Iko kazi, jaribu kusoma vizuri ndio uelewe nini nimesema.

Wapi Sikonge njoo umweleze huyu eti Nyamizi ni Mkerewe lol! Tunakwambia hivi kaa pembeni pisha ngoma ya wakubwa ichezwe,sio kuanza kulia lia kama mtoto hatuna muda na Magamba kwa sasa.
 
Ninachowapendea CHADEMA hawabebi watu kwa magari kutoka sehemu yoyote.Watui wanakwenda wenyewe kwa utashi wao,Hakuna cha TOT wala the Comedy.Watu wanaenda kusikiliza sera.CHADEMA Izidi kujitofautisha hivi hivi.Waache CUF na CCM wawatumie Comedy,Afande Sele na TOT
 
Nyie hamjui wasukuma sio? Msimu wa pamba ukiisha watu hawana kazi,hata shibuda au Lema wakienda watu watajazana.

Omr itawachukua mda sana kuweza kuamini na kuelewa kuwa watu wamechagua mabadiliko
 
zaid nilichopenda ni kuwa zitto alipokelewa na umati huu airport hadi viwanja vya magomeni kirumba.i was so impressed.viva cdm
 
Hakika ukombozi umekaribia Tanzania,mkoloni mweusi CCM lazima ang'oke Tanzania,viva CHADEMA.
 
zaid nilichopenda ni kuwa zitto alipokelewa na umati huu airport hadi viwanja vya magomeni kirumba.i was so impressed.viva cdm
...ata yeye mwenyewe Zitto hakuamini kuuona umati mkubwa ulioufika ktk viwanja vya Magomeni kushuhudia uzinduzi wa kampeni za udiwani za mgombea wa CDM,kama utakumbuka Zitto wakati anamwaga sela aliuliza hivi(namnukuu)..."jamani hivi hizi kampeni ni-zakumgombea uraisi au udiwani?"(mwisho wa kunukuu)...aliyasema haya baada ya kuuona umati kubwa uliojitokeza hapo Magomeni Kirumba Mwanza...
 
Kweli kabisa kuwa mtu ukiifaham kweli hiyo kweli itakuweka huru. Hongera mwanza kwa kuifahamu kweli.
 
Uzinduzi wa Campaign za urais au udiwani??? Mwanza nimewakubali!
Jionee mwenyewe... Peopleeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzz zzzzzzzzzzzzzzzzzz
View attachment 49101 View attachment 49102 View attachment 49103 View attachment 49104 [video]http://yfrog.com/17yuhz[/video]

Hii ndiyo dalili halisi ya VP, alipokuwa Mikoa ya kusini, kwa kuutambua moto huu unaokuja nyuma wa CDM ambao hauzimiki, alidokeza kuwa eti kuanzia uchaguzi wa 2015, Serikali ya Mseto/umoja wa kitaifa kama Zenji unawezekana! wanadhani watashindwa then waibe uchaguzi kama Zenji, ndipo walazimishie 'muafaka' iundwe serikali mchanganyiko ili kulinda mafisadi wasikamatike? Ardhi itapasuka Magamba yaingie ndani....hakuna utani hapa! Wapemba wabaki walivyo, walikubali hawakujua joka la kibisa! Maalim Seif analijua vyema hili, alikubali sasa amekuwa saffocated, kupumua hawezi! Wapemba wamebaki wanalia na wajanja kama Hamad Rashid kutaka kumng'oa Maalim, ndio picha ya Trail nzima ndani ya KAF. Itapona? Mjue, Hapo shida ni magamba tuu! Ukila nao mma, ndio umeliwa kijumla....kama ma-Dk wetu waligoma kwa mori, walivyopelekwa "bagamoyo", wamenyeshwa tui, wamerudi wamelowa! Magamba!! Miaka 50 yote wameiba wakubali kushindwa siku moja? Labda siku hiyo iambatane na 'radi' kama ile kauli ya Mungu iliyoambatana na Musa Jangwani ili kuwalazimisha wa-israel watii amri! CDM inaonyesha nguvu ya Musa, na Mungu atashindilia kwa Radi.....kuelekea 2015, Magamba lazima yasambae...!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom