Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Halafu political rhetoric za "leteni majina ya watuhuhumiwa" wakiwa majukwaani ama wakiwa wanaongea na media hua zinakera sana. Sasa watuhumiwa wametajwa badala ya kufanya kazi wanamkamata raia mleta habari, inaudhi
 
Duh yamekuwa hayo tena? Nilikuwa nimelala ndio naamka sasa niende kazini.

Nadhani jamaa wanamhoji kwa nia njema tu ili awasaidie katika kuipeleleza hiyo kesi. Jukumu la kupeleleza kesi zote za jinai liko mikononi mwa polisi. Kwa hiyo msemakweli anaisaidia polisi kupeleleza na bahati nzuri ana ushahidi atawakabidhi tu na kuwaelekeza wapi alipo kato akamatwe aje aseme vizuri jinsi RA alivyoshiriki. Namuona Msemakweli anakuwa shahidi wa serikali ila siyo mpelelezi.
 
Nasema ya kagoda mbona dogo sana, lipo kubwa linaloigusa ikulu moja kwa moja na linakuja niliahidi kuleta hapa nikishajiridhisha!!
 
Busara inahitajika. Nimewahi kupendekeza maridhiano ya kitaifa yafanyike. Wezi na mafisadi wapewe muda, wajisalimishe kwa kusema ukweli na kukiri, wenye ushahidi watowe, maovu yote yewekwe wazi, watu waombe radhi na WASAMEHEWE. Tuanze ukurasa mpya, katiba nzuri mpya.

Tuwe makini na Tanzania itakuwa mbali sana ndani ya miaka 10. Kinyume cha hapo, tutaendelea kushuhudia fitina, ukweli, majungu, kulipuwana na kutoleana siri, kufukuzana, kugombea madaraka, kudhulumiana kisiasa, kutesana na kumwagana damu ki-mtindo. Tunahitaji KUVUMILIANA SANA. Wengine tunauwezo wa kuyasimamia maridhiano ili TUANZE UPYA KILA KITU.
 
which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi
Una ushahidi kwamba hana ushahidi? Mafisadi bwana, wanawatumia watu wenye njaa!
 
Hihi ndo Tanzania bwana, Mimi nasemaga ccm niyamajambazi mualifu anakula kuku shaidi ndo yupo polisi kazi kweli kweli
au alieiba baiskeli anahukumiwa miaka 15 lakini alie iba bil 4 ana hukumiwa miaka 3..
 
hakuna ushahid wowote wa kagoda<br />
hii mambo yote ni kuaribia ccm kushinda jimbo la igunga

Msemakweli yuko ktk mikono salama ya polisi wanamuomba awasaidie kuwaongoza kuwapata watuhumiwa na nyaraka zinazohusika. Hawana nia mbaya naye na wako friendly
 
Nawashangaa kweli nyie mnaosema eti I hate him; hebu waone na kiingereza chao cha ugoko; sasa ulitaka apendwe na kila mtu amekuwa malaika? mmh nyie nanyi bhana

Waulize, toka lini msemakweli akapendwa? Wanapendwa akina Jairo bwana mpaka wafanyakazi wanasukuma magari yao na kulipwa mshahara wakati waalimu wanofundisha watoto wetu na kuwaondoa ujing wanakaa bila kulipwa mishahara.
 
which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi

Yaa kuwa ccm ni taabu kweli! Hivi ni kweli ukiwa kada wa ccm wewe ni zuzu? Msemakweli ametoa ushahidi wewe unakataa tu! Basi kama haumwamini subiri majibu yatakayotolewa na Polisi,siyo unakurupuka kukataa tu!
 
Hihi ndo Tanzania bwana, Mimi nasemaga ccm niyamajambazi mualifu anakula kuku shaidi ndo yupo polisi kazi kweli kweli
 
kwani maigizo na komedi zinaisha nyumba hii Mpwa? mmh yaani hawana tofauti na kile kipande cha karatsi laini kilee, sijui kinaitwaje kile au kale kapulizo kale kenye majina mengi mengi; sijui na kenyewe kanaitwaje vile...yaani ukiviona hivyo vitu halafu ukiangalia kazi za hao jamaa huwa mimi nashindwa kutofautisha zaidi huwa naishia kukapa credit kale kakaratasi na kale kafutuza maana vinalipwa na vinathaminiwa japo kwa muda fulani tu....

Hili ndo kosa kubwa wanalo lifanya CCM na serikali yao.
Wanawapa watu umaarufu bila wao kujijua kumkamata huyu jamaa wanampa umaarufu kwa 90%
Wananchi watajua wanamwonea huyo Msemakweli kwa kuwakumbatia mafisadi nyagumi.
 
Dunia nzima sasa wanatushangaa watanzania tumelogwa na nani.watu wachache wanatusababishia matatizo makubwa kiasi hiki bado tuko kimya .haki haiombwi ,haki inatafutwa kwa garama yeyote ile.mateso dhiki shida zote tulizo nazo tumejitakia wenyewe.uwezo wa kuzikataa tunao.mtu mbaya na mwovu lazima jamii imchukie na ikibidi imtenge .hima watanzania tuamke woga wetu ndio umaskini wetu tukatae pamoja dhulma tunayofanyiwa na ccm.natabiri anguko la ccm kabla ya 2015.TUNISIA,wameweza MISRI wameweza,LIBYA wameweza baada ya hao anayefuata ni TANZANIA Wameweza nasisi tunaweza .tuunganishe nguvu pamoja bila kujali chama ."Hima Watanzania nchi yetu inaangamia"umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
 
Nasema ya kagoda mbona dogo sana, lipo kubwa linaloigusa ikulu moja kwa moja na linakuja niliahidi kuleta hapa nikishajiridhisha!!
<br />
<br />
nna hamu sana na hiyo ki2 mkuu,jiridhishe fasta kiongoz umwage huo mchele hapa kwenye kuku wengi
 
Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola

ZAwadi yake ndo kaipata :msela:

which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi

i hate him as well

Tutakapo anzia mapambano Mbeya ya kuung'oa uongozi dhalimu wa kifisadi wa CCM usije ukakimbia
Tumewachoka
Nyie mnashiba sie miayo.
 
hili suala ni zito sana maana wengi wanazunguka mbuyu wanashindwa kuukata maana hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
Mpwa acha acha kabisa kutaja mambo ya ualimu, unanikumbusha kidonda mkuu, ilibidi niache ualimu kwa machozi; nawasikitikia wale wanafunzi na ilibidi niwaeleze ukweli kuwa naacha kazi ya ualimu kwa sababu hizi za kunyanyaswa na wao wakakubali na wakaniahidi kuwa mawazo niliyoyapanda na fikra pevu nilizozipandikiza ndani yao watazitumia sahihi kwa wakati sahihi; Kusema ukweli japokuwa nilikuwa nawafundisha lakini nilitumia free periods kuwajenga kisiasa na kuwaeleza adui yao mkubwa ni nani na kwanini wao shule nzima haina madwati, vitabu wala maabara huku walimu tukiishi kwenye banda moja; Na mimi nataka siku moja niitishe vyombo vya habari nijinyoge mbele yao labda hawa mafisadi wataelewa.
Waulize, toka lini msemakweli akapendwa? Wanapendwa akina Jairo bwana mpaka wafanyakazi wanasukuma magari yao na kulipwa mshahara wakati waalimu wanofundisha watoto wetu na kuwaondoa ujing wanakaa bila kulipwa mishahara.
 
Tusilaumu sana bila kujua dhumuni la kushikiliwa kwake na polisi.Inawezekana ni kwa usalama wake pia!Labda kuna taarifa mbazo TISS wamezipata zinazotishia usalama wake.Katika mazingira hayo lazima polisi imlinde hata kwa namna ambayo itaonekana ni kumkamata, kutokana na unyeti wa ushahidi alionao.Tuwe na subira mara nyingine.
 
wamemnyang'nya ule ushahidi alokuwa nao...............asihofu kila ktu tunacho huku maana nilisave ile doc yote........
 
Back
Top Bottom