Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Nafikiri muda wa kuanza kuandamana nchi nzima umekaribia maana manyanyaso yanazidi siku hadi siku. Katiba ya nchi inasema ukiwa na mashaka na wizi wowote au uvunjifu wa sheria toa taarifa kwenye vyombo vianavyohusika.

Lakini kama Msemakweli katoa hadi evidence na anaishia kukamatwa na polisi huku watuhumiwa wanakula maisha tunasubiri nini?

Hivi ni mtanzania gani hajui kama RA na YM ni wkwepa kodi, wezi na walanguzi wa nchi hii?

Sasa nafikiri serikali ya JK inafikia ukingoni, muda si mrefu tuwe na moyo.
 
Nasema ya kagoda mbona dogo sana, lipo kubwa linaloigusa ikulu moja kwa moja na linakuja niliahidi kuleta hapa nikishajiridhisha!!

ni hii ya fungia fungia akaunti za benki za maafisa wa usalama wa taifa nini? miezi miwili na nusu sasa wanatafutana
 
Ningependa kuwataarifu wana jamii kuwa msemakweli yuko huru mpaka sasa ninavyoandika thread hii. nimempigia simu muda siyo na kunieleza kuwa yuko huru. kuhusu kukamatwa kwake na nini amehojiwa nawaahidi kuwapa taarifa hapo baadae. Aluta continua!!
 
Tutakapo anzia mapambano Mbeya ya kuung'oa uongozi dhalimu wa kifisadi wa CCM usije ukakimbia
Tumewachoka
Nyie mnashiba sie miayo.

Hawa list yao ipo ikifika siku ya siku ni kukamata na kutia kwenye gunia na kupiga kibiritri tu, hawastahili huruma kabisa hawa.
 
kama great thinker sio kuwaza kutukana

Basi leo najivua hicho cheo cha ugreti thinker niwe sinker ndio nifanye au nitimize dhamira yangu....hawawezi kuwaumiza ndugu zetu halafu tunafanya mzaha kiasi hiki, tutawaambiaje wanetu na vizazi vya wanetu khusu nchi yao? Tutaulizwa tutajibu nini? Babu zetu walitukomboa toka kwa wakoloni je sis tumefanya nini sisi tutakumbukwa kwa lipi?

Siku ukishushwa kaburini ukapumzike, tukukumbuke/nikumbukwe kwa lipi? Ni kipi ilikua nafasi yangu katika uhai wangu?
Je elimu mbovu na utawala mbovu nitausimuliaje kwa wanangu hapo nguvu zitakaponiishia?
Nitawasimullia nini wana wa wanangu jambo ambalo nililifanya ujanani ningali na nguvu kwa ajili ya maisha yao hawa?
Je nilliba au niliyaaanda mazingira ya kila mmoja wao kusoma na kufurahi?
Je niliishia kuchangia topic kwa mrengo wa chama na kupokea amri za kijinga kwa ajili ya kulinda maslahi ya watawala na kutaka nionekane bora kuliko wale wasio nacho?
Je wanangu leo wanastahili kusubiri sikukuuu ya Idd na Christmas wapewe mbuzi na mchele na mafuta ndicho wanachokiitaji hicho au wanahitaji elimu bora inayoamsha na kuchangamsha ubongo pale walipo?
Kama wanaokota makopo na kulala kwene stendi za mabasi huku wakifanyiana uchafu ulipotiliza kuelezeka na asubuhi wakiwaomba watawala hawa na wezi hawa japo sh.100 iliamfutie kioo cha gari ambalo kimsingi ni pato la dhuluma?

Uishawahi kuwaza kwa kiwango hiki?
Je, hizo billions zingeboresha shule ngapi?
Hospitali na madaraja mangapi?

Tulishawahi kujiuliza haya kabla ya kukurupuka kuchangia na kushabikia kuwa eti anastahili anachokipata? Ni lini basi tutatoka usingizini tuwaonee huruma watoto wale ambao ni tokeo la sera zetu mbovu zilizoambatana na ubinafsi huu?

Mungu tuokoe
 
Kuna Wazalendo wanaopigania nchi zao kwa njia tofauti, Msemakweli hata akifa leo chini ya genge la kulinda Mafisadi (Polisi) he is my HERO. Anapigania nchi yetu kwa manufaa yetu sote.
 
Asante Mpwa ubarikiwe ila for me, sitapiga magoti ili nipate kipande cha mkate, asante sana, ushahidi mie sina maana kuona sioni hata kusikia nako shida, asante sana
hapa hakuna ushabiki leta ushahidi maana huyu jamaa kawachafua watu
inabidi aswekwe mahakamani
 
Tunakoelekea si kuzuri kwa kweli...


tunakoelekea ni pazuri tena sio mbali..............kuna siku utasikia wimbo wa taifa unapigwa na wala hamtaweza kwenda kutoa heshima za mwisho maana mwili hautaonekana......just keep yor eyes open.......watu wamechoka ..ngoja mipango ikamilike......
 
Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola

ZAwadi yake ndo kaipata :msela:

which style are you taking about?

Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi

Hawa list yao ipo ikifika siku ya siku ni kukamata na kutia kwenye gunia na kupiga kibiritri tu, hawastahili huruma kabisa hawa.

Yaani inasikitisha sana nchi inaibwa alafu kuna vijamaa vinajitokeza kuwatetea wezi
 
Asante Mpwa ubarikiwe ila for me, sitapiga magoti ili nipate kipande cha mkate, asante sana, ushahidi mie sina maana kuona sioni hata kusikia nako shida, asante sana

huyu jk na wenzake ni maskini wa kutupwa wala msipoteze mda na hwa jamaaa.hawan lolote hapo walipo.........
 
Ukisema uongo siku zote utafurahiwa sana na kila mpinga ukweli. Tunahitaji wazalendo kama Msemaukweli 1000 ndio nchi itanyoka.
 
kaachiwa yuko huru wacha nisubiri hayo maelezo yake..............anaandika
 
Back
Top Bottom