Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

Anakamatwa mlalamikaji watuhumiwa wanapeta nchi hii inatia kinyaaa

Ndio Tanzania ilivyo, watuhumiwa wataendelea kusifiwa kwa sifa teletele kama vile mwenzetu, mutu ya watu, mukulu, papa, pedeje.

Lakini DPP mwenyewe si alisema mwenye ushahidi aniletee sasa kupelekewa imekuwa kosa ????
 
OMG!! Hawa watu they are playing with fire - I thot itakua quiet but naona wana Soo much confidence.... Sad.
 
Serikali inasimamia wezi?
Wenye ushaidi wanahojiwa watuhumiwa wanakula bata.
Wengine wanapewa majukumu ya kutetea Igunga.
Poo lice!!
 
Ameyataka mwenyewe, KUKURUPUKA NI KUBAYA!
Kwani amefanya kosa gani kusema ukweli, tuache ubabaishaji bana mimi nadhani mafisadi tunao humu humu ndani ya JF.

Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola
Ushahidi ulitaka upi wewe au ule aliosema JK kuwa hawajui Kagoda na nchi itatingishika mafisadi wakikamatwa?

ZAwadi yake ndo kaipata :msela:

Mungu yupo atamsimamia ili haki itendeke!
 
Tuache sheria ifuate mkondo wake. Tusiwe na wasiwasi, atatendewa haki, hata kama itakula kwake.
 
Taarifa zinadai kuwa Msemakweli alielekea kwa DPP kama alivyodai hiyo jana kuwa angeenda kwake na kuambiwa kuwa appointment yake imesogezwa mpaka Jumatatu lakini akiwa njiani kurudi akakamatwa na maofisa wa polisi ambao mpaka sasa wanaendelea kumhoji.

Hatujapata taarifa za nini amehojiwa na nani kamhoji. Tutaendelea kufahamishana kadiri muda utakavyoruhusu.

Huu ni mwanzo tu, kuna mengine yatajiri muda si mrefu!

Inasikitisha sana

Nadhani kama alivyoahidi sio kama alivyodai.

Inaudhi, inakera na inauma, ukisema inasikitisha ina maana hakuna cha kufanya bali kuangalia tu, mtu akifa ndo tunasikitika kwani kama binadamu we cant do otherwise lakini sio vitendo vya kuonewa.
 
Afadhali aishie segerea tu!
Mtu mmoja hawezi kuivuruga nchi.
 
Kwani amefanya kosa gani kusema ukweli, tuache ubabaishaji bana mimi nadhani mafisadi tunao humu humu ndani ya JF.


Ushahidi ulitaka upi wewe au ule aliosema JK kuwa hawajui Kagoda na nchi itatingishika mafisadi wakikamatwa?



Mungu yupo atamsimamia ili haki itendeke!

hakuna ushahid wowote wa kagoda
hii mambo yote ni kuaribia ccm kushinda jimbo la igunga
 
Back
Top Bottom