Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

hivi kweli mtu anaetoa hoja nzito kama hizo anakamatwa na kutakiwa atoe maelezo as if n mhalif!!
labda sijui mmekosea lugha? amekamatwa au ni kua polisi inahitaji ushirikiano wake??
manake katika hali ya kawaida kwa issue serious kama hyo ilibidi saa hii TAKUKURU na ofisi ya DPP, pamoja na jeshi la plisi wawe wamemwekea
hata usalama wa uhakika mtu kaa msemakweli, kwasababu ni crucial sana katka issue ya EPA.
Serikali na (DPP) ndo iliyokua ikidai haina ushahidi juu ya tuhuma za EPA, sasa mtu keshajitokeza na kutaja watu, na mazingira ya kiushahidi,
manake ilibidi wamtunze sana kwakua yeye ndie atakae thibitisha hayo aliyoyasema.kwa sasa suala a kua aliyoyasema ni kweli au si kweli halipo, hilo litathibitishwa na mahakama baadae!
 
Kweli wangempa ulinzi kuhakikisha kwamba hadhuriwi na harubuniwi ili kuharibu ushahidi na watuhumiwa. Lakini mzalendo huyo sasa anaonekana ndiye mkosaji. Wahusika wamegawawiwa mabaki ya EPA?
 
Miafrika hiko hivo tu ndo maana haendelei, mtu kujitoa kusema jambo kama hilo, that man is a hero, inabidi tumsupport kwa nguvu zote anaweza kuwa na mambo mazito anayajua! Kwani mangapi yameleta +impact katika taifa na yanaibuliwa na watu ka yeye, eti hana ushauri kayata mwenyewe , nyie ndo akina kibonde, ''ukiona habari inahatarisha maisha yako usiandike'' mbwa wewe, woga wa kijinga na hoja dhaifu kama hizo ndo sumu katika taifa hili! Ni suala la uzalendo sana halafu mimbuzi eti nyokonyoko,
 
Back
Top Bottom