Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Dereva aitwaye Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT mkoani Iringa zilipo ofisi za ASAS kwa madai ya kusababisha hasara lita 200. Inadaiwa dereva huyo aliyekuwa mwajiriwa katika kampuni hiyo ya ASAS alisababisha hasara hiyo katika safari yake ya kupeleka mzigo Zambia. Baada ya kurejea safari na kuripoti ofisi za ASAS zilizopo Iringa mjini alikamatwa na kuwekwa mahabusu kituo cha polisi central Iringa.

Baadaye ndugu na jamaa walifika polisi Iringa na kumuwekea dhamana. Alipopata dhamana alienda katika ofisi za mwajiri wake kwa lengo la kuchukua passport na vifaa vingine katika gari alilokuwa akiendesha. Inadaiwa mwajiri wake Bw. ASAS alihoji ni askari gani aliyeruhusu dereva huyo kupewa dhamana? Ndipo alipoanza kumshambulia kwa kipigo akishirikiana na walinzi wa kampuni ya SUMA JKT mpaka umauti ukamkuta dereva huyo aitwaye Martin Chacha.

Sisi kama watetezi wa haki za Binadamu na utawala bora tunalaani vikali tukio hilo. Asas ambaye ni kiongozi ndani ya chama cha mapinduzi CCM alipaswa kuwa mfano wa kuheshimu sheria za nchi kuliko kujichukulia sheria mkononi. Kwa sababu hiyo tunalitaka jeshi la polisi IGP Wambura , RPC wa Iringa na DCI kuchukua hatua za kisheria kwa Asas na hao walinzi wake wa Suma JKT kabla sisi hatujachukua hatua ambazo tunaamini zitamuwajibisha Asas na hao walinzi.

Hatuwezi kuvumilia mtanzania mwenzetu anauawa kisa mafuta ambayo hata milion 1 hayafiki. Je tukimlipa Asas hizo lita 200 atarudisha uhai wa dereva huyo Martin Chacha? Je Asas hajui kuwa anatengeneza chuki dhidi ya wawekezaji wenye vinasaba vya nje ya Tanzania hata kama ni mmoja ya watanzania?

Huu ujinga sitaufumbia macho tunataka Asas na wenzake wachukuliwe hatua. Kuna tetesi kwamba viongozi wa polisi mmewekwa mfukoni na Asas sasa tutataka kuona kama ni kweli au la.

Nayataka mashirika ya haki za Binadamu tushirikiane katika hili.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
IMG-20240302-WA0001.jpg

=====

UPDATES;

=====

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa maelezo na ufafanuzi kufuatia kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya Kijamii ikidai kwamba mwekezaji wa makampuni ASAS mkoani Iringa anatuhumiwa kumuua Dereva kwa kipigo akishirikiana na mlinzi wa SUMA JKT.

Taarifa hiyo iliyozushwa inadai kuwa mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Martin Mwita Chacha (46) mkazi wa Kunduchi Dar es salaam ambaye alikuwa Dereva katika Kampuni ya ASAS, aliuawa kwa kipigo kwa madai ya kusababisha hasara ya lita 200 za mafuta.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa inasema taarifa inayosambaa katika mitandao ya jamii ililitaka Jeshi la Polisi liingilie kati kufanya uchunguzi ambapo taarifa hiyo inaendelea kuchunguzwa, lakini taarifa za awali ambazo ni dhahiri ni kwamba Martin Chacha Mwita (46) alituhumiwa kuiba mafuta ya diesel lita 383.

Akisoma taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa SACP Allan Bukumbi amesema Martin Chacha alifikishwa Mahakamani na kesi ikasikilizwa Tarehe 20.2.2024 ambapo alipatikana na hatia na kuhukumiwa kutumikia kifungo cha miezi 3 jela.

"Marehemu Chacha alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa baada ya kuugua ghafla alipopatwa na maumivu makali upande wa moyo na kulalamika kwa wafungwa wenzake waliokuwa nae kwenye shughuli za kilimo eneo la Gereza la Mlolo na kukimbizwa hospitali haraka"

"Mwili wa Marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Rufaa mkoa wa Iringa kwa uchunguzi zaidi wa kitaalam ili kubaini kifo cha marehemu kilisababishwa na nini, taarifa za awali za daktari zimeonyesha kuwa marehemu alikuwa na tatizo la ugonjwa wa moyo"

"Uchunguzi utafanyika na Jeshi la Polisi linatoa wito kwa yeyote mwenye ukweli wowote wa kuweza kukamilisha uchunguzi na kupata ushahidi madhubuti asisite kujitokeza" - Amesema Kamanda Bukumbi.

Sambamba na hilo Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa linatoa rai kwa wananchi wajiepushe na utoaji wa taarifa za uongo na upotoshaji, likiwataka wasimame kwenye ukweli na si kwenye mambo ya kuzusha kwa malengo ambayo hayatasaidia watanzania na nchi kiujumla.
 
Hili Picha lingenoga Sana huyu tajiri Mwarabu koko angekuwa maeneo ya Ukuryani. Yaani Lita 200 za LAKI 6 unaua Baba, Babu, Kaka, Mume wa Binadamu mwenzako. Tia Kiberiti huyo Mwarabu koko na Mali zake zote maaaamae zake, msisubiri kupelekana Mahakama maana Akina Kibatara watafanya yao.
 
Dereva aitwaye Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT mkoani Iringa zilipo ofisi za ASAS kwa madai ya kusababisha hasara lita 200. Inadaiwa dereva huyo aliyekuwa mwajiriwa katika kampuni hiyo ya ASAS alisababisha hasara hiyo katika safari yake ya kupeleka mzigo Zambia. Baada ya kurejea safari na kuripoti ofisi za ASAS zilizopo Iringa mjini alikamatwa na kuwekwa mahabusu kituo cha polisi central Iringa.

Baadaye ndugu na jamaa walifika polisi Iringa na kumuwekea dhamana. Alipopata dhamana alienda katika ofisi za mwajiri wake kwa lengo la kuchukua passport na vifaa vingine katika gari alilokuwa akiendesha. Inadaiwa mwajiri wake Bw. ASAS alihoji ni askari gani aliyeruhusu dereva huyo kupewa dhamana? Ndipo alipoanza kumshambulia kwa kipigo akishirikiana na walinzi wa kampuni ya SUMA JKT mpaka umauti ukamkuta dereva huyo aitwaye Martin Chacha.

Sisi kama watetezi wa haki za Binadamu na utawala bora tunalaani vikali tukio hilo. Asas ambaye ni kiongozi ndani ya chama cha mapinduzi CCM alipaswa kuwa mfano wa kuheshimu sheria za nchi kuliko kujichukulia sheria mkononi. Kwa sababu hiyo tunalitaka jeshi la polisi IGP Wambura , RPC wa Iringa na DCI kuchukua hatua za kisheria kwa Asas na hao walinzi wake wa Suma JKT kabla sisi hatujachukua hatua ambazo tunaamini zitamuwajibisha Asas na hao walinzi.

Hatuwezi kuvumilia mtanzania mwenzetu anauawa kisa mafuta ambayo hata milion 1 hayafiki. Je tukimlipa Asas hizo lita 200 atarudisha uhai wa dereva huyo Martin Chacha? Je Asas hajui kuwa anatengeneza chuki dhidi ya wawekezaji wenye vinasaba vya nje ya Tanzania hata kama ni mmoja ya watanzania?

Huu ujinga sitaufumbia macho tunataka Asas na wenzake wachukuliwe hatua. Kuna tetesi kwamba viongozi wa polisi mmewekwa mfukoni na Asas sasa tutataka kuona kama ni kweli au la.

Nayataka mashirika ya haki za Binadamu tushirikiane katika hili.

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2922043
Daaah aisee.

CCM inamilikiwa na majambazi wauaji ndo maana hata kina Muliro wanashiriki matendo yenye viashiria vya kihalifu bila hofu.

Nchi ipo mikononi mwa wahuni hii.
 
Who cares?

Linchi halina mahakama

Wananchi wanachagua miwanasiasa ya hovyo

Haya kuleni jeuri yenu na mashenzi ya CCM

MaCCM kama haya akina Asas yanawaueni na still mnayachagua mnayapa nchi,mtajijua,kufeni vizuri!

Majinga matupu,kila saa utasikia "mama anaupiga mwingi"...

Fools
 
Back
Top Bottom