Polisi Kuvamiwa Baa ya Boardroom Sinza ni kielelezo kingine cha ubumunda wa baadhi ya askari polisi

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Inadaiwa hapa ni Sinza polisi waliingia Bar inaitwa Boardrom wakatishia wateja kwa bunduki kisha wakampiga risasi mlinzi. I tell you Rais Samia kuna siku hasira zitafumuka raia wataangusha serikali yako kutokana na uonevu polisi ambao kila uchwao wanalalamikiwa na huchukui hatua. Mark my words.

Inadaiwa polisi hao walikuwa wakiwatafuta wanawake wanaojiuza. Swali la msingi kabisa tangu lini wanawake wanaojiuza wakatafutwa kwa bunduki? Yani kwamba tuna jeshi la polisi ambalo linapambana na nyege kwa kutumia bunduki? Seriously? Kila siku nasisitiza kuwa jeshi hili la polisi limeharibiwa mfumo mzima kuanzia sifa za wanaoajiriwa, mafunzo na weledi.

Leo askari polisi wanaotegemea mishahara inayotokana na bia wanavamia bar na bunduki kutisha walipakodi wanaowawezesha wao kulipwa mishahara? Ni ubumunda kiasi gani?

Binafsi napendekkeza ifuatavyo:

1. Askari hawa wachukuliwe hatua kali mara moja zikiwemo za nidhamu na kufikishwa mahakamani.

2. Napendekeza maboresho ndani ya jeshi la polisi kuanzia sifa za wanaoajiriwa kwamba angarau wawe na cheti chochote cha sheria ili kuwasaidia katika uelewa mpana wa sheria.

3. Kwamba mitaala ya mafunzo pia iangaliwe upya. Hatuwezi kuwa na mafunzo ya kutumia zaidi bunduki na maguvu hata sehemu ambazo hazitakiwi nguvu au bunduki. Vifaa vya kisasa na mafunzo ya kisasa yanahitajika zaidi kuliko bunduki na miguvu.

4. Wahitimu wa chuo cha polisi wafanye mitihani ambayo 80% iwe inahusu uelewa wa sheria. Utungaji wa mitihani hiyo ihusishwe ofisi ya DPP , Chama cha wanasheria TLS na wakufunzi wa polisi. Atakayefaulu ndio aajiriwe.

Tofauti na hapo tutaendelea kulia na kulalamika ndugu zetu wakifia mikononi mwa polisi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
 
Inadaiwa hapa ni Sinza polisi waliingia Bar inaitwa Boardrom wakatishia wateja kwa bunduki kisha wakampiga risasi mlinzi. I tell you @SuluhuSamia kuna siku hasira zitafumuka raia wataangusha serikali yako kutokana na uonevu polisi ambao kila uchwao wanalalamikiwa na huchukui hatua. Mark my words.
We unachowaza serikali kuanguka tu,acha upumbavu
 
Aise haya mambo ya ajabu kabisa sasa polisi na wanaojiuza inawahusu nini ? Yani mtu na starehe zake hapo bar wewe zinakuwashia nini? Utaprove vipi mtu kama anajiuza its more of moral issue than a crime, polisi hausiki kabisa hapo , this is too much wamekuwa out of control
 
Inadaiwa hapa ni Sinza polisi waliingia Bar inaitwa Boardrom wakatishia wateja kwa bunduki kisha wakampiga risasi mlinzi. I tell you @SuluhuSamia kuna siku hasira zitafumuka raia wataangusha serikali yako kutokana na uonevu polisi ambao kila uchwao wanalalamikiwa na huchukui hatua. Mark my words.
Unamshauri nani?
Acheni vichekesho bwana,Wewe mleta mada una tatizo la kuamini unachokifanya na kufikiria wewe ni sahihi lakini wakifanya wengine unaita makosa ya jeshi la polisi

Wakati ule warioba anakusanya maoni ya katiba ulikuwa na miaka mingapi?Yawezekana hujui kuna watu walikimbia bungeni

Waulize vizuri Boss zako ,Kuwa maoni ya jeshi la polisi hawayakuongea kwa jaji warioba?

Je baada ya mpira kuwekwa kwapani walirudisha pesa za wananchi?

You can not beat a drum by one finger

Hizo kelele zako watu walishapiga na pesa walipata bungeni na katiba hawakuandika zaidi ya kulaluana kuhusu tuwe na serikali ngapi?

Kundi la serikali tatu ndio la mabosi wako wakakimbia,Kundi la serikali mbili ndio hilo linaendesha nchi
 
Nilipokuwa na biashara furani pale Buguruni, nilikuwa nikishuhudia police wakiwakamata hao madada poa. Wakifika kituo cha police baada ya dakika kadhaa utaona wanatoka mmoja mmoja.
Na wanakwambia tangu lini dada poa na muuza gongo ukamsikia kafungwa!
Tafakari!
 
.......inapambana na nyege kwa kutumia bunduki? Seriously? Kila siku nasisitiza kuwa jeshi hili la polisi limeharibiwa mfumo mzima kuanzia.....

🤣🤣🤣🤣
 
Inadaiwa hapa ni Sinza polisi waliingia Bar inaitwa Boardrom wakatishia wateja kwa bunduki kisha wakampiga risasi mlinzi. I tell you Rais Samia kuna siku hasira zitafumuka raia wataangusha serikali yako kutokana na uonevu polisi ambao kila uchwao wanalalamikiwa na huchukui hatua. Mark my words.

Inadaiwa polisi hao walikuwa wakiwatafuta wanawake wanaojiuza. Swali la msingi kabisa tangu lini wanawake wanaojiuza wakatafutwa kwa bunduki? Yani kwamba tuna jeshi la polisi ambalo linapambana na nyege kwa kutumia bunduki? Seriously? Kila siku nasisitiza kuwa jeshi hili la polisi limeharibiwa mfumo mzima kuanzia sifa za wanaoajiriwa, mafunzo na weledi.

Leo askari polisi wanaotegemea mishahara inayotokana na bia wanavamia bar na bunduki kutisha walipakodi wanaowawezesha wao kulipwa mishahara? Ni ubumunda kiasi gani?

Binafsi napendekkeza ifuatavyo:

1. Askari hawa wachukuliwe hatua kali mara moja zikiwemo za nidhamu na kufikishwa mahakamani.

2. Napendekeza maboresho ndani ya jeshi la polisi kuanzia sifa za wanaoajiriwa kwamba angarau wawe na cheti chochote cha sheria ili kuwasaidia katika uelewa mpana wa sheria.

3. Kwamba mitaala ya mafunzo pia iangaliwe upya. Hatuwezi kuwa na mafunzo ya kutumia zaidi bunduki na maguvu hata sehemu ambazo hazitakiwi nguvu au bunduki. Vifaa vya kisasa na mafunzo ya kisasa yanahitajika zaidi kuliko bunduki na miguvu.

4. Wahitimu wa chuo cha polisi wafanye mitihani ambayo 80% iwe inahusu uelewa wa sheria. Utungaji wa mitihani hiyo ihusishwe ofisi ya DPP , Chama cha wanasheria TLS na wakufunzi wa polisi. Atakayefaulu ndio aajiriwe.

Tofauti na hapo tutaendelea kulia na kulalamika ndugu zetu wakifia mikononi mwa polisi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Mjambiani ni
 
Back
Top Bottom