Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Hujielewi.
Ahaa..no uwa ananifanyaga masaji magetoniHuwa mnakutana kwenye kitchen party?
Watu nimewaambia wanielezee kwa maneno 5 lakini kuna majitu yanaandika vitabu kabisa
Haya...
1)Mwoga(Ulikimbia debate)
2)Una panick mapema hovyo(kama juzi ulipoporomosha matusi kwa kupambanishwa na Kiranga)
3)Huna msimamo(Sometimes with Mafisadi, somtimes not)
4)Wakati mwingine mcheshi
5)Jazba inayotokana na ukosefu wa uvumilivu (sometimes)
Ndo maana nikasema more time might help...
Mi sijaolewa. Na pia sitafuti mume. Ila natafuta marafiki (wa kiume na wa kike)Kwahiyo umeshaolewa siyo?
Ha ha ha!Vituko juu ya vituko! Kwahiyo hayo ni maneno matano?
Mi sijamtema. Nimesema napenda avatar, vingine naomba anipe muda nimjue vizuri. Au ndio kutema kwenyewe?Haya bana, naona unadumisha mila; anakutema, unamtema. Haya Mura.
Ha ha ha ha haaa. Kwahiyo mkuu unataka kusema kuna watu wanapenda sifa za ki-MASAKI?
Hii nimeikubali mkuu..Ha ha ha!
1)Mwoga
2)Panic
3)Inconsistency
4)Funi
5)Overreacting
Ukibadili mawazo tena, i can abbreviate...
Hii thread isipopata wachangiaji naapa kujitoa JF na wala hamtaniona tena.
Brother Mwita mimi nakufagilia sana kwa jinsi unavovunja mayai ya ukwenga hapa jamvini, lakini hapo juz-kat ulini'disappoint sana nlipo'note kwamba kumbe una kiboko yako mwingine hapa JF uliyepambanishwa nae kwenye "English-Debate", afu badala ya kutema madini juu ya 'motion' iliyowekwa jamvini we ukaanza kuonesha ma'dalili ya udhaifu tu kwa kumkacha yule 'kifaru' ulopambanishwa nae na kuanza kuvurumisha mitusi kwa mleta mada aliyeanzisha uzi, je waweza kunieleza nini juu ya hili brother ili niendelee kukuamini, au niendelee kuamini tu kuwa uliamka vibaya siku ile jembe langu?
Nimeelewa tu hayo maneno matano uliyoyahitaji!!Umeelewa hayo maneno ya kiingereza? Au umekubali nini pua?