Mnanizungumziaje wakuu?

Bila shaka umeuliza swali lako kwa tafasiri ya kiingereza ukiwa na maana 'are you married?''. Ni kweli mimi ni mume wa mke mmoja (Elizabeth Mushi) ingawa yeye nilimkataza asijiunge na JF.

mkeo yupo facebook?
 
Mi sijamtema. Nimesema napenda avatar, vingine naomba anipe muda nimjue vizuri. Au ndio kutema kwenyewe?

Pole Mwali, Mwita25 ameelewa vizuri. Kutema kwa Kikurya ni kupiga. Si wajua jamaa wanapenda ugomvi!
 
Tunakuzungumzia vibaya mno, wewe uko kama hali ya hewa, hujielewi leo Magamba kesho Magwanda.
 
Tunakuzungumzia vibaya mno, wewe uko kama hali ya hewa, hujielewi leo Magamba kesho Magwanda.
 
Back
Top Bottom