Mnanizungumziaje wakuu?

Member Mpya, i will be able to tell more next year...

For this short period of timr that i got to know you and read your contributions, i dont know ulivyoingia sijuwi ilikuwa strategically ama vipi?

Kwasababu sometimes kwenye issue za kisiasa huwa kama uko neutral, however unamchukia sana Dr Slaa...At the same time, si kwamba unauchukia upinzani moja kwa moja licha ya kwamba umetetea CCM kwa kiasi kikubwa sana...

More time will enable me to tell more about you...
 
Watu nimewaambia wanielezee kwa maneno 5 lakini kuna majitu yanaandika vitabu kabisa

Haya...

1)Mwoga(Ulikimbia debate)

2)Una panick mapema hovyo(kama juzi ulipoporomosha matusi kwa kupambanishwa na Kiranga)

3)Huna msimamo(Sometimes with Mafisadi, somtimes not)

4)Wakati mwingine mcheshi

5)Jazba inayotokana na ukosefu wa uvumilivu (sometimes)

Ndo maana nikasema more time might help...
 
Vituko juu ya vituko! Kwahiyo hayo ni maneno matano?
 
Mi sijamtema. Nimesema napenda avatar, vingine naomba anipe muda nimjue vizuri. Au ndio kutema kwenyewe?

Sikiliza wewe sijui mwali sijui nini. Kwenye hii thread yangu sipendi uchakachuaji. Umenielewa?
 
Hii thread isipopata wachangiaji naapa kujitoa JF na wala hamtaniona tena.

Brother Mwita mimi nakufagilia sana kwa jinsi unavovunja mayai ya ukwenga hapa jamvini, lakini hapo juz-kat ulini'disappoint sana nlipo'note kwamba kumbe una kiboko yako mwingine hapa JF uliyepambanishwa nae kwenye "English-Debate", afu badala ya kutema madini juu ya 'motion' iliyowekwa jamvini we ukaanza kuonesha ma'dalili ya udhaifu tu kwa kumkacha yule 'kifaru' ulopambanishwa nae na kuanza kuvurumisha mitusi kwa mleta mada aliyeanzisha uzi, je waweza kunieleza nini juu ya hili brother ili niendelee kukuamini, au niendelee kuamini tu kuwa uliamka vibaya siku ile jembe langu?
 
Aliyeanzisha debate naye ni kilaza wa kufa mtu! Kwanza inabidi aniombe radhi kwa kunishindanisha na mtu anayetafuta sentensi kupitia Google.
 
Back
Top Bottom