holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 700
- 1,040
Habirini wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada. Tangu nipate japo maarifa kidogo ya kufanya academic research nimekuwa na interest fulani ya kutafiti mambo mbalimbali yanayohusu mahusiano, mapenzi, jinsia, familia na dini. Tafiti huwa zinatokana na kutambua matatizo fulani yanayosumbua jamii ili tuweze kujua visababishi na kupata maarifa zaidi juu ya hayo matatizo ili yaweze kushughulikiwa kwa ufanisi.
Ningependa kupata maoni yenu wadau kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mahusiano ya kifamilia, mapenzi, jinsia na dini ukihusishanisha na familia hasa Tanzania. Matatizo ambayo kwa sasa unaona yanahitaji kufanyiwa kazi kwa haraka kama tunahitaji jamii bora miaka ya mbeleni. Itakuwa vyema kama utaweza kusema hilo tatizo umeliona hasa mkoa gani au kwenye jamii gani.
Baadhi ya matatizo ninayosikia yanatajwa sana
Ningeomba kama kuna mengine ambayo unahisi ni makubwa zaidi yanahitaji attention kwenye jamii yetu ya kitanzania kwa sasa usisite kutoa comment nasoma maoni kwa umakini.

- Wanaume kushindwa ku perform ipasavyo kwenye tendo
- Ongezeko kubwa la single mothers
- Baadhi ya watu kuona ndoa ni kujipotezea muda, uhuru na furaha
- Baadhi ya watu kushindwa kuheshimu wake au waume za watu mwishowe kuvurga ndoa za watu.