Mnanizungumziaje wakuu?

Aliyeanzisha debate naye ni kilaza wa kufa mtu! Kwanza inabidi aniombe radhi kwa kunishindanisha na mtu anayetafuta sentensi kupitia Google.

Mwita25 lol mbona nilikuomba radhi kama nilikukwaza na hukujibu............

lakini tukirudi kwenye mada/swali
Mitwa25 is
  • fun,
  • controversial
  • Emotianally and psychologiacally weak
Happy 2012
 
Aliyeanzisha debate naye ni kilaza wa kufa mtu! Kwanza inabidi aniombe radhi kwa kunishindanisha na mtu anayetafuta sentensi kupitia Google.

... yawezekana ni ya ukweli hayo usemayo brother, lakini sana mi nadhani ni wewe ndo uliyeonesha ukilaza zaidi kwa kumshambulia mleta mada, na zaidi kwa kumshambulia yule 'kifaru' wako kiranga cjui nani, maana kama debate 'motion' nadhani ilikuwa inaeleweka tu, na ninaamini bado ungeweza tu kutetea taji lako la u'kipanga' kwa kukata 'nyanga' bila kujalisha ni nani alolekt motion jamvini, au ni nani unaeshindanishwa nae, ama sivyo jembe langu ...
 
Hilo la nne sijalielewa. Funiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
What dont you understand abount funi, ama ulitaka tu niandike funny ndo useme umeelewa?

Sikuiandika kwa bahati mbaya mkuu.

Vipi kuhusu zilizobaki?
 
I think u'r a man with multiple personalities.... Sometimes annoying and probably sometimes the best person to turn to incase one needs an advice because u can spit the truth right on someone's face...ila unaonekana unapenda ugomvi..for no reason!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom