Mnanizungumziaje wakuu?

Yaani wewe Mura una vituko sana..kiukweli huwa sikuelewi kabisa..kwanza taarifa zako nyingi ni uzushi,..pia unapenda kwenda off point mf leo kwenye thread ya P. Mayala juu ya wasifu wa Halima Mchuka ukaacomment "tujihadhari na Ukimwi"..yaani huwa sikuelewi kabisa..
Ushauri wangu kwako kama kijana mwenzio,tuitumie vizuri jf maana nchi yetu ina matatizo mengi tu,hivyo tulete hoja za msingi.
 
ni kijana aliekuwa na akili nzuri mpaka mwanzoni mwa mwaka 1995 alipokuwa anamaliza form four lakini pale alipovuta bangi siku ya graduation ndipo akili yake ilipokaa tenge na kuwa mbovu hadi leo!

...Unataka kusema ndo sababu aliishia form six tu?

....ila kumbuka ana nyumba nne na wapangaji kibaoooo!!
 
Mwita25, binafsi huwa nasoma mabandiko na michango yako humu jamvini na naiheshimu kabisa. Sioni tatizo lolote ingawa mara nyingine nashindwa kukuelewa uko upande gani.
Mara nyingine unaonekana kuwaunga mkono CCM unreasonably, lakini pia mara nyingine unawapinga CCM unreasonably pia. Hapo tu ndo unaniachaga hoi.
Hata hivyo, uko tofauti sana na Ritz na Rejao, wao wanaunga mkono na kutetea kila kitu cha Magamba (FF anaonekana kuepuka hayo, siku hizi).
 
Nashukuru sana mdogo wangu. Mungu akuinue sana katika kila unachokifanya.
 
Back
Top Bottom