Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
Ccm wamesema cdm ni wakirsto na cuf ni waislam.sasa ccm ni chama gani raia wamejibu kwa sauti mafreemason
ha,ha,ha,...,hiyo imetulia people power
Ccm wamesema cdm ni wakirsto na cuf ni waislam.sasa ccm ni chama gani raia wamejibu kwa sauti mafreemason
Mama yake zitto kaweza kufika anaishi maeneo ya jirani na uwanja. G lema anatema cheche jamaa ana falsafa za kupandsha watu mzuka uwanja unalipuka kwa mayoweee wanatulizwa na people power
Ccm wamesema cdm ni wakirsto na cuf ni waislam.sasa ccm ni chama gani raia wamejibu kwa sauti mafreemason
Thubutuuu....hao utawakuta kwenye mijadala ya dini na thread za TUNTEMEKEritz na Rejeo wako hapo?
G lema atakuwa dsm kwa mwez na nusu.
ritz huwa anajaribu kujikaza kiroho ngumu ila Rejeo haonekani humu kama FFritz na Rejeo wako hapo?
ritz huwa anajaribu kujikaza kiroho ngumu ila Rejeo haonekani humu kama FF
ritz huwa anajaribu kujikaza kiroho ngumu ila Rejeo haonekani humu kama FF