Mkutano wa chadema viwanja vya tabata shule

Anasema arusha wakiweka paka vs riz 1 na wawape milion 200 cdm watafanya kampeni siku moja na ushind utakwenda cdm.anasema kipind akiwa mbunge akuwai kumpokea jk wala pinda
 
Mama yake zitto kaweza kufika anaishi maeneo ya jirani na uwanja. G lema anatema cheche jamaa ana falsafa za kupandsha watu mzuka uwanja unalipuka kwa mayoweee wanatulizwa na people power
 
Anasema ni upuuz kutembeza moto {mwenge} barabara.wanatumia mamilion kuukimbiza wakati mashule wanafunzi wanakalia matofali
 
G lema anasema kama rais ameshidwa na chama akitak kukubali kuachia madaraka tutaingia barabaran anasema atuwez kuwa na rais tangu januar hadi december yeye ni kuchekacheka.
 
Anasema arusha ukipanda daladala ukiwatetea sisiem unashushwa inabidi na watu wa dar tuamke ndio maana juzi sisiem wamefanya mkutano jagwani kupima upepo wao wa kisiasa na cdm .anaomba vijana tuikatae magambaz kila mtaa.anasema watu wa dar wanamaisha magumu wanakula utumbo wa kuku na chumba kimoja wanaish watu 30 wanapokezana kulala.maisha magumu yanaletwa na magambaz
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom