Mkutano wa chadema viwanja vya tabata shule

Kuna wahanga wa mafuriko walikuwa wanalala na kushnda hapa tbt kituo cha police.serikal iliposikia M4C itakuwepo hapa leo ijumaa na jumamosi wameamishwa na kwenda kupewa viwanja maeneo ya chanika.wameishi hapo tangu mafuriko yalipotokea mto msimbazi
 
Huu ni uzushi mtakatifu! Nimepita hapo shule watu ni wachache sana. Kuna wanazi kama 30 wamezunguka jukwaa na wananchi wa kawaida kama 70 wamejitenga kuzunguka uwanja!

mikutano huisha saa 1800 wewe umepita 1830 je unategemea utakuta watu? Hao 70 ni wale walikuja kuvua gamba na kuvaa gwanda
 
Anasema ni upuuz kutembeza moto {mwenge} barabara.wanatumia mamilion kuukimbiza wakati mashule wanafunzi wanakalia matofali

hapa kama kuna ka ukweli vile! hivi hizi mbio za moto zinamsaidia nini mtanzania? mimi nashauri zisitishwe kwanza tumalize issue za msingi. otherwise naona ni sawa na baba kuchangia arusi wakati familia haina chakula.
 
Utahangaika sana na utangoja sana! Wafa maji wakubwa.

Kwa taarifa yako, hapa nilipo sio majini bali nipo nabonyeza key za simu yangu, kwa hiyo siwezi kufa maji.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Huu ni uzushi mtakatifu! Nimepita hapo shule watu ni wachache sana. Kuna wanazi kama 30 wamezunguka jukwaa na wananchi wa kawaida kama 70 wamejitenga kuzunguka uwanja!

yaelekea wapenda sana majungu, hivi ukiwaambia leo mchana ulikuwa kwangu wanifulia nguo utakataa? jenga achana na umkamakama.
 
Huu ni uzushi mtakatifu! Nimepita hapo shule watu ni wachache sana. Kuna wanazi kama 30 wamezunguka jukwaa na wananchi wa kawaida kama 70 wamejitenga kuzunguka uwanja!

Rejao na Ritz mnajibadilisha sana kwa ID.hata mlivyokuwa arumeru mashariki mlitumia nguvu nyingi kudanganya umma kuwa mnakubalika na cdm ni chama cha msimu.....
 
Back
Top Bottom