Iringa: Huu hapa ni Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Chongolo Viwanja vya Mwembetogwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,752
218,339
Mh Chongolo akihutubia Iringa Mjini kwenye viwanja Maarufu vya Mwembetogwa kwenye Mkutano Kabambe , Amesisitiza kwamba Wazazi wa Iringa ni lazima wahakikishe mtoto wa kike anapelekwa shule badala ya kuwasukumizia Dar es Salaam kwenda kufanya kazi za ndani .

Hali ya viwanja vya Mwembetogwa ilikuwa hivi .

FB_IMG_1685640113129.jpg

FB_IMG_1685640122322.jpg
 
Acheni uongo, mkutano ulikuwa mkubwa sanaa, hapo ni mapema sana kabla ya Mh. Katibu Mkuu wa CCM, Chama Tawala hajafika
 
Mh Chongolo akihutubia Iringa Mjini kwenye viwanja Maarufu vya Mwembetogwa kwenye Mkutano Kabambe , Amesisitiza kwamba Wazazi wa Iringa ni lazima wahakikishe mtoto wa kike anapelekwa shule badala ya kuwasukumizia Dar es Salaam kwenda kufanya kazi za ndani .

Hali ya viwanja vya Mwembetogwa ilikuwa hivi .

View attachment 2642888
View attachment 2642889
Hii siamini, maana wana dhana zote za kuwawezesha kujaza uwanja.
 
Mh Chongolo akihutubia Iringa Mjini kwenye viwanja Maarufu vya Mwembetogwa kwenye Mkutano Kabambe , Amesisitiza kwamba Wazazi wa Iringa ni lazima wahakikishe mtoto wa kike anapelekwa shule badala ya kuwasukumizia Dar es Salaam kwenda kufanya kazi za ndani .

Hali ya viwanja vya Mwembetogwa ilikuwa hivi .

View attachment 2642888
View attachment 2642889
Kila mtu ashinde mechi zake🤣
 
Hiyo picha imepigwa saa nane na dakika 37 mchana kwa saa za Afrika mashariki na Kati. Kiuhalisia kabisa kwa tamaduni za Afrika huo muda wengi wanakuwa wanapata mlo wa mchana na jua linakuwa utosini hivyo wengi hutafuta maeneo kujikinga na jua.

Nitumie picha ya saa 10 mpaka 12 jioni ili niamini uzushi wako. CCM ni dubwasha kubwa halifanyi siasa za showoff ila ikifanya showoff ndio baadae mnakuja kubwabwa CCM ni Chama dola
 
Sasa ni vema wewe ukatuma hiyo ya saa 10
 
Muongo huu hamtoboi 2023-20333 na hivyo mshafikisha umeme vijijini na shule za sekondari na minara ya simu hicho ndio kifo chenu ujinga wa watanzania ndio ulikuwa mtaji pekee uliokuwa umebaki.
 
Tuwekee picha zake mkuu
CCM hatuweki mapicha picha kama watoto wa Insta au FB na CCM haifanyi kazi kwa mapicha picha, sisi tuna sera na mikakati na hutasikia tukiponda au kusema watu au Chama fulani, sisi tuna mipango, sera kabambe za kutekeleza, mipicha picha sio sera wala mipango..

Chadema mtakuwa na akili lini? Every day nawashauri mtumie walau akili mtengeneze sera au mipango yenu muuze kwa wananchi mpate kura, ila hamuelewi, au sbb Mwenyekiti wenu ni Div 0 nini, sbb ndio matokeo yake haya.
 
Back
Top Bottom