Mkutano wa chadema viwanja vya tabata shule

Barnabas Shadrack, unaweza kuniambia ni kwanini CCM wanaongelea watu wa kaskini kama wakimbizi nchi hii? Ni watanzania halali?

Subiri baadaye nitakupa jibu maana mimi sio mfuasi wa Ccm lakini hali ya siasa hapa nchini ndiyo inayoonyesha ukanda wa Chadema.
The unseen is illustrated by the seen.
 
watu wamehamasishwa sana wamemsindikiza mh mbungE wa arusha aliye honey moon kwa miguu kuelekea matumbI hakika G lema, heche NA kilewo ni noma
KAMANDA LEMA ANASEMA KAMA NOMA NA IWE NOMA UOGA BAAASI.....
 
Samahani ndugu, unaweza ukaniambia maana ya neno lenye rangi nyekundu hapo juu. Nitashukuru sana maana mimi kamusi yangu haina.
The unseen is illustrated by the seen.

kwani kamusi yako na yake zinafanana.gambaz bana linawasha jiloweke kidogo lilainike
 
Subiri baadaye nitakupa jibu maana mimi sio mfuasi wa Ccm lakini hali ya siasa hapa nchini ndiyo inayoonyesha ukanda wa Chadema.
The unseen is illustrated by the seen.

Kama kweli inaoneesha ukanda kwa nini ofisi ya msajili wa vyama vya siasa imekaa kimya? Kuna siasa mbaya sana toka upande wa ccm tangu 2005. Siasa za 'devide and rule' matokeo yake CCM yenyewe inasambaratika na sasa wanataka kusambaratisha taifa! Walianza na dini ikashindikana, sasa wamekuwa wanapiga kambi kambi ukanda.

Lakini you dont need a PhD kujua hawa wanasiasa uchwara wanataka kukwepa hoja, kwa nini Tanzania ni maskini? Wameshindwa kusema kwa miaka 50 kwa nini nchi tunaomba hata msaada wa kuchimba matundu ya vyoo? Wanataka tuanze kujadili mambo ya hovyo ili waendelee kuiba.

Kesho ni Jumatatu, wananchi watakazia masikio yao Dodoma, na hapo hakuna kukwepa hoja, hata kwa msaada wa Spika ni lazima CCM wajibu maswali ya msingi, kwa nini nchi hii ni omba omba?
 
Kama kweli inaoneesha ukanda kwa nini ofisi ya msajili wa vyama vya siasa imekaa kimya? Kuna siasa mbaya sana toka upande wa ccm tangu 2005. Siasa za 'devide and rule' matokeo yake CCM yenyewe inasambaratika na sasa wanataka kusambaratisha taifa! Walianza na dini ikashindikana, sasa wamekuwa wanapiga kambi kambi ukanda.

Lakini you dont need a PhD kujua hawa wanasiasa uchwara wanataka kukwepa hoja, kwa nini Tanzania ni maskini? Wameshindwa kusema kwa miaka 50 kwa nini nchi tunaomba ha
.
Tanzania ni maskini kwa kuwa wananchi wake ni wajinga. Wamebaki kulia lia mitandaoni tu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
watu wamehamasishwa sana wamemsindikiza mh mbungE wa arusha aliye honey moon kwa miguu kuelekea matumbI hakika G lema, heche NA kilewo ni noma
KAMANDA LEMA ANASEMA KAMA NOMA NA IWE NOMA UOGA BAAASI.....

kumbe ulikuwepo kiongoz nyomi ilikuwa ya kufa mtu watoto wa kova walikimbia sikuwaona kabisa leo
 
[QUOTE
.
Tanzania ni maskini kwa kuwa wananchi wake ni wajinga. Wamebaki kulia lia mitandaoni tu.
The unseen is illustrated by the seen.

Wrong. Title ya hii thread ni kuhusu mkutano wa CHADEMA Tabata. Ni mkutano wa wa wananchi wa Tanzania Tabata. Na hiyo utaita ni kulia lia mitandaoni?

Kuhusu wananchi kuwa wajinga, that's is not my interpretation. Wangekuwa wajinga CCM would not go as far as uttering such nonsense as ukanda. Ni mpuuzi na mwizi ndiye atakuwa anatafuta support kwa kujenga hoja za ukanda badala ya kuongelea umaskini unawakumbwa watanzania.
 
Huu ni uzushi mtakatifu! Nimepita hapo shule watu ni wachache sana. Kuna wanazi kama 30 wamezunguka jukwaa na wananchi wa kawaida kama 70 wamejitenga kuzunguka uwanja!

We nae umevaa msuli ndani ujavaa chupi alaf unaruka soti
 
Akae huko kwa masharobaro wanatuangusha wako karibu naikulu wanauza maji?lema wape somo siunajua kura za majumuisho hua zinajumlishiwa huko?komaanao hata kama miez 6 usiogope huku a tawn tunambana meya wa kuchonga na mkurugenzi feki.kivuyo karudia unaibu meya,anapwaya hatuwez machinga
 
Back
Top Bottom