TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,768
- 21,252
Kuna kitu hakiko sawa na kinaenda kutolewa ufafanuzi muda mfupi ujao.
Nadhani hii haikuwepo katika ratiba yake ila ndugu Godbless Lema anaitisha mkutano wa hadhara wa dharula, ngoja tuone na mlio karibu msisite kutoa updates.
Kupitia ukurasa wake wa tweeter Lema amesema;
"Kamanda John Heche, Msigwa , John Pambalu, Prof Lwaitama, Ezekiel Wenje na Viongozi wengine tutakuwa na mkutano wa hadhara ktk viwanja vya soko kuu leo kuanzia Saa 8 Mchana."