Mkutano wa CCM Mbeya

Swali aliloniuliza mzee wangu ni 'huyu ndo kijana uliyetuhamasisha tukampigie kura?' nimeshindwa kujibu chochote mpaka mzee alipokata simu.Aibu naisikia mimi sina hakika upande wake anajisikiaje.aghrrr...
 
kwa mpango huu nadhibitisha kabisa kwamba ccm hawana huruma na taifa letu kwani wananunua viongozi then uchaguzi utafanyika upya kwa pesa ya mlipa kodi, ccm achani hizo badala ya kuwashawishi wapiga kura nyie mnakimbilia kununua mtu mmoja, kumbukeni wapiga kura ndio waamuzi wa mwisho ndio watakao piga kura na huyo mliomnunua hatapata kura kwa sababu kawasaliti watu wake kwa maslai binafsi. shameless
 
kwa mpango huu nadhibitisha kabisa kwamba ccm hawana huruma na taifa letu kwani wananunua viongozi then uchaguzi utafanyika upya kwa pesa ya mlipa kodi, ccm achani hizo badala ya kuwashawishi wapiga kura nyie mnakimbilia kununua mtu mmoja, kumbukeni wapiga kura ndio waamuzi wa mwisho ndio watakao piga kura na huyo mliomnunua hatapata kura kwa sababu kawasaliti watu wake kwa maslai binafsi. shame
 
Sishangai kwani nape, january, kikwete, sitta, kilango na ccm nzima wote ni elimu ya madarasani tupu. Ukiona chama kinashindwa kutetekeleza matakwa na malengo ya wananchi wanatumia hii tactics ya false argument 'kudanganya wananchi'

Ni kweli katika jamii lazima utakuwa na wale wasio na mwelekeo na kutojua kazi ya chama katika serikali na zaidi kuna wale wasiojua na elimu kama wao ccm wataendelea kutumiwa. Sisi chadema tuendelee na harakati za kuwakomboa hata hao wasio na elimu ili waelimike na kujua elimu inawafanyanya kutumia kama wafungwa kimawazo ni haki yao. Sikutegemea ccm itatumia wafanyakazi wa serikali na hata wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuwalazimisha wafike kwa ajili ya picha ziende nje ya nchi, wanajua hawa ndio wafungwa wao kwa sasa. Ni dhahiri kabisa na kujiuliza ni wangapi Mbeya wanafurahi hali hii ya maisha? Ukijua hili jibu basi kweli wewe ni huru kimawazo na tunakukaribisha katika Tanzania mpya.

'Tangu lini chama kinakuwa na mafanikio ya makaratasi na kudanganyanganya tu bila ukweli? ccm ni nyoka na tunamkanyaga kama nyoka wa dhambi'
 
Nimefuatilia kupitia vyombo mbalimbali vya habari mkutanao wa c.c.m mbeya,

Kwa mujibu wa wazungumzaji wa mkutano hao wanadai eti serikali inafanya maamuzi makini na sio magumu (inaonekana ni majibu kwa E.L),kwani hata kibaka akitaka kwenda kuiba huwa anafanya maamuzi magumu..Je kuna ukweli katika matamshi hayo!!???
 
Ama kweli la kuvanda halina ubani au waswahili wamesema sikio la kufa haliskii dawa.

Leo ccm wame proove kuwa kuandamana sio kosa baada ya kufanya hivyo huko Mbeya.

Nawaonea huruma kwa sababu nahisi wanafanya mambo kwa kuangalia leo tu.
Walianzisha matawi yao vyuoni sasa yanawarudi,hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa maandamano kwani walikuwa wanayaponda sasa wanayafanya
.

My take watafaulu kufanya hivyo nchi nzima maana maandamano yao yana cost kubwa ?
 
nadhani cdm wajikite zaidi katika kuimarisha chama from the grassroot kuliko kutegemea watu wanaoibuka kipindi cha uchaguzi na kugombea nafasi kwa tiketi ya cdm after time cause dhana ya mabadiliko haimo/haikuwa injected damuni mwao wanasaliti kwa vipande vichache vya fedha kama hivi.
 
ogopa sana jasiri mjinga kama haya magamba ya CCM, huyo Mary Mwanjelwa kwanza arudishe mataulo na soap dishes alizoiba Arusha, se mwarangani mwana uju, hao wakina Mwakyembe nao wamezidi kutia aibu, nakubaliana na kubenea sasa CCJ ime take over, sendeka bwana eti Rais na mtoto wake wamezushiwa kashfa za uongo, haya na hilo la gazeti la dira la tapeli anayekula na mkuu wa kaya nalo pia na kusingiziwa? JF wamehongwa kutoa hiyo story aibu sana sana sana kwenu wakina maxe
 
CDM ni zaidi ya madiwani wala wenyeviti. Kama wanaweza wajaribu kununua wananchi wote. Hata wakimnunua Mbowe or even Slaa, hatutarudi nyuma.
Ni kweli mkuu naongezea kwa kusema hata wangebadili mavazi wavae kama cdm
 
Haki ya Mungu ningekuwa na element ya uongozi ningeacha kazi na kurudi Mby nikagombee mwenyewe pale kwetu ila ndo hivyo tena.Dah!
 
Not so fast...

Kama ungekuwepo uwanjani ungefikiri upya kuhusu hilo...

Butola

Hapa hatuko kubishana. Kama hii picha ya maandamano inaonyesha uchache wa Wanamagamba basi wewe tuletee hiyo ya UWANJANI YENYE NYOMI. Full stop!
Sana sana watakuwa ni wale watoto wa shule na Wanavijiji walioletwa KWA MAFUSO TOKA VIJIJINI.
 
Butola

Hapa hatuko kubishana. Kama hii picha ya maandamano inaonyesha uchache wa Wanamagamba basi wewe tuletee hiyo ya UWANJANI YENYE NYOMI. Full stop!
Sana sana watakuwa ni wale watoto wa shule na Wanavijiji walioletwa KWA MAFUSO TOKA VIJIJINI.

Mkuu!!sisemi nilichosimuliwa bali nilichokiona na kusikia kwa masikio yangu, nyomi ilikuwa kubwa sana na mwitikio wa hotuba ulikuwa mzuri, CCM hawakutegemea na wametiwa moyo sana na walichokiona leo, picha hizoo...

http://www.hakingowi.com/2011/07/nape-nnauye-aunguruma-mbeya.html

matukio-michuzi: MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROFESA MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU


 
Yah mwakyembe akasema cha msingi ni kufanya maamuzi makini na sio magumu as ata nduli amini alifanya maamuzi magumu ya kuivamia tz ila hakuwa makini
Magamba bwana kwa vijembe
 
Mkuu!!sisemi nililolisikia, naongea nililoliona na kusikia kwa masikio yangu, nyomi ilikuwa kubwa na mwitikio wa hotuba ulikuwa mzuri, CCM hawakutegemea na wametiwa moyo sana na walichokiona leo, picha hizoo...matukio-michuzi: MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA PROFESA MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU
Nawasikitikia ndugu zangu hao waliokaa juani kuandamana na CCM. Hata kama wangekuwa milioni, Swali la kujiuliza, kwa lipi hasa lililofanyika? Hatuna umeme, biashara zinakufa everyday, gharama za maisha juu, wanasherekea nini hasa? Kujiuzuru kwa Rostam? Ama kweli tumerogwa!!
 
Haki ya mungu afe mama na baba yangu kama hili ninalo lisema ni uongo. Tanzania haitakaa iendelee isipokuwa imepata rais mchaga tena atoke moshi vijijini. Watu wa huko mbeya ni vilaza eti katika mateso kama haya ya kukosa ajira, mshaara duni, makazi duni, chakula duni, elimu duni, afya duni, sement mfuko tsh 20000, sukari kilo tsh 2000 nauli usiseme unga mafuta ya taa lita tsh 2500. Nabado wana valia tshert za kijani duh. Wajinga tena nivilaza hao wana kyusa na wasafa.
 
CDM ni zaidi ya madiwani wala wenyeviti. Kama wanaweza wajaribu kununua wananchi wote. Hata wakimnunua Mbowe or even Slaa, hatutarudi nyuma.
Umeongea ukweli mtupu,hata kama wakiisha wote me ntabaki hata na bendera tu,CHANGE WE NEED.
 
Back
Top Bottom