Dkt. Tulia akosoa maandamano ya CHADEMA Mbeya

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno

Dkt. Tulia ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya 'Tulia Trust' amezungumza hayo Februari 23.2024 wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba kwa Hosea Kalemali ambaye ni mmoja wa wanufaika wa nyumba tisa (9) zilizotolewa na taasisi hiyo kupitia mpango wa 'Tulia Trust na Jamii'

Kuhusu kufana kwa maandamano hayo Dkt. Tulia amesema ameshangazwa kusikia maandamano hayo yalikuwa na muitikio wa watu wengi jambo ambalo amedai si sahihi kwa kuwa wengi waliojitokeza haifahamiki wametokea wapi kwa kuwa hawafahamiki hata na wenyeji yaani wakazi wa Mbeya

Dkt. Tulia pia amekosoa kitendo cha CHADEMA kuwatembeza watu kwa miguu (waandamanaji) umbali mrefu akitolea mfano wa kutoka Mbalizi hadi uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kwenda kwenye mkutano jambo ambalo amedai CCM haiwezi kufanya hivyo kwa kuwa ikiwahitaji watu hao itawatumia usafiri wa kuwafikisha kwenye eneo husika.

Credit - JamboTv
 
Chadema ikiwatumia watu usafiri magari ya mbeya nzima hayatatosha. Anyways kipimo cha uhai wa chama ni wingi wa watu barabarani. Madikteta wanaogopa sana nyomi kama la chadema, Likitokea la kutokea majeshi yanahamia upande wa watu.

Ccm mpaka ikusanye wanafunzi au iwape watu nauli, ACT mpaka itembeze ngamia mjini ndio inapata watu wachache wa kwenda kuisikiliza, chama hai nchi hii ni chadema tu, kupewa dola haikwepeki
 
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno

Dkt. Tulia ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya 'Tulia Trust' amezungumza hayo Februari 23.2024 wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba kwa Hosea Kalemali ambaye ni mmoja wa wanufaika wa nyumba tisa (9) zilizotolewa na taasisi hiyo kupitia mpango wa 'Tulia Trust na Jamii'

Kuhusu kufana kwa maandamano hayo Dkt. Tulia amesema ameshangazwa kusikia maandamano hayo yalikuwa na muitikio wa watu wengi jambo ambalo amedai si sahihi kwa kuwa wengi waliojitokeza haifahamiki wametokea wapi kwa kuwa hawafahamiki hata na wenyeji yaani wakazi wa Mbeya

Dkt. Tulia pia amekosoa kitendo cha CHADEMA kuwatembeza watu kwa miguu (waandamanaji) umbali mrefu akitolea mfano wa kutoka Mbalizi hadi uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kwenda kwenye mkutano jambo ambalo amedai CCM haiwezi kufanya hivyo kwa kuwa ikiwahitaji watu hao itawatumia usafiri wa kuwafikisha kwenye eneo husika.

Credit - JamboTv
Tulia amekosa hoja. Kwa hiyo maandamanobya CHADEMA waliandamana Wachina?
 
Ngoja uone Tulia aluchofanya siku ya maandamano. Aliitisha mkutano shule ya Mkapa pale siku hiyo hiyo ya maandamano. Mkutano ulikuwa wa waendesha Bajaj wa Mbeya hasa wa Mbeya Jiji ambao wako katikati hapo maeneo ya Kabwe kujadili nauli za Bajaj. Kumbuka kwa hapo Mbeya Kabwe ndo kama kitovu ama center ya 'vijana'. Pamoja na hiyo diversion lakini watu walikuwa shazi ktk maandamano.

Kilichozingua maandamano ni mvua. Asee mvua ilipiga yaani kama siyo mvua CDM walijipanga sana.

Nilichoona Mbeya CDM inakubalika saana. Tulia ana kazi ya kufanya kutetea ubunge wake.
 
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno

Dkt. Tulia ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya 'Tulia Trust' amezungumza hayo Februari 23.2024 wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba kwa Hosea Kalemali ambaye ni mmoja wa wanufaika wa nyumba tisa (9) zilizotolewa na taasisi hiyo kupitia mpango wa 'Tulia Trust na Jamii'

Kuhusu kufana kwa maandamano hayo Dkt. Tulia amesema ameshangazwa kusikia maandamano hayo yalikuwa na muitikio wa watu wengi jambo ambalo amedai si sahihi kwa kuwa wengi waliojitokeza haifahamiki wametokea wapi kwa kuwa hawafahamiki hata na wenyeji yaani wakazi wa Mbeya

Dkt. Tulia pia amekosoa kitendo cha CHADEMA kuwatembeza watu kwa miguu (waandamanaji) umbali mrefu akitolea mfano wa kutoka Mbalizi hadi uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kwenda kwenye mkutano jambo ambalo amedai CCM haiwezi kufanya hivyo kwa kuwa ikiwahitaji watu hao itawatumia usafiri wa kuwafikisha kwenye eneo husika.

Credit - JamboTv
Mimi nadhani haya sio maneno yake. Kama ni yake basi Ph.D yake inatia wasiwasi.

Amandla...
 
Tulia anategemea kuhonga kupitia Tulia trust.
 
Tulia kuna siku tuta mkuta mahakamani atu eleze wale covid19 pale bungeni wana lipwa kutoka wapi. Kiongozi wa aina gani asie fuata sheria alizo shiriki kuzi tunga?
Halafu Mbeya mna mlea lea jambazi
 
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya wanasiasa wasiowatakia mema kwa kuwa wakati uliopo sasa ni wa kupelekewa maendeleo na si maneno

Dkt. Tulia ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkurugenzi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya 'Tulia Trust' amezungumza hayo Februari 23.2024 wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba kwa Hosea Kalemali ambaye ni mmoja wa wanufaika wa nyumba tisa (9) zilizotolewa na taasisi hiyo kupitia mpango wa 'Tulia Trust na Jamii'

Kuhusu kufana kwa maandamano hayo Dkt. Tulia amesema ameshangazwa kusikia maandamano hayo yalikuwa na muitikio wa watu wengi jambo ambalo amedai si sahihi kwa kuwa wengi waliojitokeza haifahamiki wametokea wapi kwa kuwa hawafahamiki hata na wenyeji yaani wakazi wa Mbeya

Dkt. Tulia pia amekosoa kitendo cha CHADEMA kuwatembeza watu kwa miguu (waandamanaji) umbali mrefu akitolea mfano wa kutoka Mbalizi hadi uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini Mbeya kwenda kwenye mkutano jambo ambalo amedai CCM haiwezi kufanya hivyo kwa kuwa ikiwahitaji watu hao itawatumia usafiri wa kuwafikisha kwenye eneo husika.

Credit - JamboTv
Limemchoma na baaaaaadoooooooo
 
Back
Top Bottom