Mbeya ndio inabeba Maono ya Tanzania. Baada ya Maandamano ya Chadema kutafanyika Mkutano mkubwa wa Kamati ya Maridhiano ya Taifa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,029
Hapo Mbeya ndio alitokea mbunge aliyepata Kura nyingi kuliko Wabunge wote wa Tanzania mh Joseph Mbilinyi aka Sugu

Hapo Mbeya ndio Shujaa Magufuli alishuka kwenye Gari lake na kumpandisha mbunge Sugu awasalimie Wananchi kwa kutumia mic yake 😀

Hapo Mbeya ndio anatoka Rais wa Mabunge yote Duniani

Hapo Mbeya ndio nyumbani kwa shehe maarufu nchini mh Dr Mwaipopo

Hapo Mbeya ndio nyumbani kwa mtume na nabii kiongozi nchini mh Mwamposa

Hapo Mbeya ndio anaishi Rais wa TEC Askofu Mwaisonga

Hapo Mbeya ndio nyumbani kwa Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa.

Hapo Mbeya ndipo ANBEN walijimilikisha mgodi wa Kiwira.

Mbeya ndio DP World walipachagua Kujenga Msikiti wa kisasa.

Lakini Mbeya alitokea Jambazi maarufu nchini Jombi hadi ilifikia kukaa mezani na RC Mramba na kusaini mkataba wa Amani.

Jombi, Luhambati na Kipagati walitisha sana Nyanda za Juu nchini.

Mbeya alikuwepo yule Mwamba wa Road aitwaye Giriki wa Tawaqal 😂😂

Tuyaombee Maandamano ya Chadema yawe ya Baraka na Tuiombee Kamati ya Amani na Maridhiano ambayo Chadema na vyama vya Siasa vyote wamo mkutano wao Mkuu ukatupe Dira ya Maendeleo ya Taifa letu.

Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki Wenye Nyuso za Kukunjamana 😙
 
Daaah nmecheka saaana, kwamba Jambazi Sugu Jombi alisaini mkataba wa Amani na Mkuu wa Mkoa.
 
Mpaka leo sijui kwa nini wanyaki wamekubali kushikiwa akili na wachaga... chadema imekubalika mno mbeya na wanaamini 12th

Mpaka leo sijui kwa nini wanyaki wamekubali kushikiwa akili na wachaga... chadema imekubalika mno mbeya na wanaamini mbowe anataka kuwatajirisha
Bora babaako angevaa kondomu usiku ule.
 
Mpaka leo sijui kwa nini wanyaki wamekubali kushikiwa akili na wachaga... chadema imekubalika mno mbeya na wanaamini mbowe anataka kuwatajirisha
..
JamiiForums1381953234.jpg
 
umemsahau Mwakasege
Umesahau huko pia ndio waliimba mnatuona manyani

Huko ndiko anatoka yule aliyemwambia mzee Lowassa ni Richmond 🤣🤣🤣
 
Mpaka leo sijui kwa nini wanyaki wamekubali kushikiwa akili na wachaga... chadema imekubalika mno mbeya na wanaamini mbowe anataka kuwatajirisha

Wahi hospitali ya Milembe, usije ukazidiwa zaidi.
 
umemsahau Mwakasege
Umesahau huko pia ndio waliimba mnatuona manyani

Huko ndiko anatoka yule aliyemwambia mzee Lowassa ni Richmond

Huko Mbeya ndiko msafara wa Jakaya ulipopolewa mawe.
 
Hahaha, Mbeyaaaaaaa!

Kule Kyela Mbeya , watu walikuwa wanamtaka Nyerere ila akaja Rashidi Kawawa, watu walikasirika sana na kuanza kusema kwanini wametuletea haka Kapimba, ghafla nyuki zikaja uwanjani Mzee Kawawa akakimbilia kwenye Land-Rover lake. 🤣

Kule Tukuyu Mbeya, mkuu wa Mkoa machachari aitwaye Marwa alipelekwa na Nyerere kuwanyoosha Wanyakyusa, alipofika akawapiga mkwara na kuwaita wachawi na kusema ameaga kwao. Wanyakyusa walikasirika mno, Marwa alipokuwa anaondoka Tukuyu kurudi mjini alifia njiani kwa matatizo ya tumbo.
 
Chadema wanapambana wafike mezaninwale na CCM ila sio wawatoe mezani CCM, ndio mana wanalilia vitu ka maridhiano
 
Back
Top Bottom