Mkutano wa CCM Mbeya

Double Chris umebalance story naamini utakuwa umerekodi vinginevyo wewe ni kichwa. Vipi yale mabasi, malori, hiace, bajaji, landcruiser hardtop yalibeba nini? Bahati mbaya natumia cm ila nitaandika juu ya kile nilichokishuhudia
 
Thread hii haieleweki na sijui kama ulipata muda wa kuihariri kabla hujai-post? Kwa vyovyote vile watu hawa hawana ufanano wowote ule kwa sababu wakati kwa upande mmoja hawa wengine ni wahujumu wa uchumi na rasilimali za taifa, hawa wengine walikuwa wanatekeleza wajibu wao wa kuwadhibiti wezi hawa na wakati huo huo kutekeleza wajibu wa kidemokrasia ya kujumuika na watu ambao wana mawazo na mtazamo unaooana na wao.
 
Huyu mzee unajua hana jipya kwa kuwa anachotaka yeye ni kugombea urais tu, Mimi nashangaa anaposikitika watanzania kutokuwa na Umeme wakati yeye alikuwa wakwanza kumaliza swala la Richmond/Dowans pale Bungeni.

Kibaya zaidi ni swala kukana kuwepo kwenye CCJ wakati alikuwepo, swali langu ni kwamba kwani akikubali tatizo liko wapi? au kwa vile imekufa?
Aache unafiki huyu mzee, hatutaki viongozi wanafiki kama Sita, kujiunga upinzani ndiyo ukombozi wa Watanzania sasa anakataa nini.

Hawa wanaotusaidia watanzania, Mfano Dk Slaa alinkuwa CCM kahamia Chadema na ndio mkombozi wetu, hata haya ya kuvua magamba ni matokeo yake.

Quite an adolescent reasoning. Nia yako uhamishe makosa ya watu wengine kupeleka kwa mtu mwingine? Kwani kama mjadala ungefika mwisho ndo umeme ungepatikana?
 
Mwakajilae,

Pamoja na kwamba hukuweka paragraphs lakini hoja zako ni nzitro ambazo watu wengi hawaoni.Kudos comrade!
 
...Bahati mbaya sana inawezekana kabisa zile zilizoshinda India zikashindwa vibaya sana Tanzania, kila zama ina mashujaa wake na katika siasa na maisha kwa ujumla kuna uwezekana usiotiliwa shaka wa aliyeshindwa jana kuwa shujaa wa leo, kesho na siku nyingi zijayo.

Tusiishi sana kwenye ya juzi, tutachelewa sana...

Elimu yaa maisha na siasa sio elimu ya dalasani,ndio maana wakina Abraham Lincoln na Sir Churchill sio wasomi wa kitaaluma,ashindwe siasa tumjudge huko.
 
Umemaliza such serious allegations na kicheko?? I wish ningejua age....
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Ujinga tu. Ukitaja watatu kina Daniel Ole Porokwa, Mpendazoe unawaacha wapi? Kwanini ulazimishe kuita mapacha watatu?
 
Any great thinker from JF will never waste his/her time to discuss Nape and his CCJ team hata siku moja .CCM hakuna mzima wamefikia mwisho wa kuwaza na hata kusema neno moja la busara kwao ni vigumu .Laana hii imesha waingia haiwezekani mkawatawala watanzania wenzenu vibaya hivi kwa wizi na dharau .Laana ipo na imesha washukia .Now time kujipanfa kutafuta suluhu ya shida zetu .Hatuwezi maana ma CCM yako madarakani .What next ? Kampeni za nguvu , elimu kubwa ya uraia na mwaka 2015 Sitta na genge ataajua kwamba watanzania si wajinga .Tuwaache CUF wapopolewee mawe .Niliyajua haya maana CCM wanafanay kuwakomoa watu now wana watisha watu .Lakini pia ni vyema kasema hayo kapunguza kasi ya wahamiaji wa CCM toka upinzani .Wajue ukisha ingia unaishia bench na njaa iko pale pale .
 
Hawa jamaa (6 na wenzake) wanachekesha kabisa, wanafanya zecomedy ya hali ya juu. Ninasema wanachekesha kwa sababu zifuatazo:
1. Wao ni chama tawala (Serikali iliyomadarakani ni CCM) na Mwenyekiti wao ndiye Rais wa serikali - Ndo kusema wanamtaka M/kiti wao ajivue gamba?

2. Samwel 6 ni waziri na anamlaumu waziri mwenzake kuhusu umeme tena wa wa chama chake - Collective responsibility ya baraza la mawaziri iko wapi? - Lyatonga Mrema alijiuzuru kwa sa7bu ya kuwa kinyume na mawaziri wenzake nje ya vikao vyao.

3. Kuhusu Ardhi anaposema watu serikalini (CCM) wana mkono wao anamaanisha nani? au Waziri mkuu? je anasemaje juu ya Aridhi ya Lugufu huko kigoma na Mishamo + Katumba (Rukwa) juu ya jumla ya Ha 325117 (acre 803373) au Square km 3254 fuatilia link hizi hapa Land Deal Brief: AgriSol Energy and Pharos Global Agriculture Fund na PM Pinda kumbelea Agrisol huko Marekani

  1. [*]Hosting our Prime Minister, Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda, and key local and national government officials on visits to the U.S. to see our partners’ modern, large-scale commercial farming operations, and to meet with Iowa State University experts in small landholder outreach; Kwa undani zaidi fuatilia weblink ifuatayo Powered by Google Docs

3.Nasema wanachekesha kwa7bu wamekuwa wapinzani wa chama chao ikiwa ni pamoja na ilani yao ya uhaguzi ajabu zaidi wenyewe ni viongozi ni sawa na kupanda jukwaani kuwaambia wasikilizaji kwamba sisi tunaowaongoza hatufai tuondoen madarakani.

 
mimi si mwandishi wa habari na siku note popote ndiyo maana mengi nimeacha/nisahau ya malori yalibeba watu toka wilayani na kila kata kutoka mbali eg Igawilo Mwansekwa mbalizi etc
 
Wana JF hebu tuijadili kwa kina kauli ya Sitta: "Nawapa matumaini katika chama chetu kuwa, sisi mnaotuona hapa ndio tunaotumia akili siyo tumbo katikt kufikiri, hivyo chama chetu kitakwenda vizuri." Source Mwananchi 17/07
Kwahiyo Wanamagamba wote hawana akili isipokuwa wao wliokwenda Mbeya tu, hivi huu si udhalilishaji kwa Chama chake? Nini rai ya Wanamagamba ktk hili?
 
kweli CCM hawatabiriki ni juzijuzi tuu wametoka kuponda maandamano ya CHADEMA sasa wameamua kuwafuata Chadema kweli CCM haiaminiki na isipewe na nafac y a kuaminika
 
Back
Top Bottom