wamepata ujasiri wa kuongea mbele za watu baada ya RA kuvua gamba. Wanakula allowance za chama tu hawa hamna lolote.
Nnadhani 6 anautaka urais 2015, anaona EL anakwamishwa basi anadhani atapewa yeye. Tunavyomjua kwa hasira zake akiukosa basi atahama ccm japo hata umri utakuwa haumruhusu tena.