Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Mkandara mimi sikuelewi kabisa!! Mimi nakubali kwa asilimia mia kwamba Vincent ni wa ukoo wa Nyerere lakini hatoki kwenye Familia ya Mwalimu Nyerere. Pia nakubaliana na wewe kwamba Mkapa ni ndugu na kina Madaraka kwa YAMINI lakini hazaliwi na mtu yeyote kutoka kweye ukoo wa Nyerere!! Sijui ni wapi tunapopishana hadi udhani kwamba nataka kumsafisha Mkapa.
Ni kwamba Vicent kapewa jina la ukoo la nyerere, jina la nyerere halikuanzia kwa Julius Kambarage, Julius pia si nyerere kjina lake ni kambarage la nyerere ni la baba yake.Kwa maana nyingine jina la nyerere wamepewa watu mbali mbali ndani ya ukoo ule. mfano Masanja anapewa jina la masanja kwa kuitwa jina la babu lakini kina masanja ndani ya ukoo ule wako wengi.Hii ni kawaida huko lake zone.ndiyo zetu hizo