- Mkuu la Mkapa kuwa familia tumeshalipita, sasa la msingi ni what else wanajua between wao ambacho ni muhimu kwa sisi taifa na hasa wananchi, kama sio Arumeru tungejuaje haya sasa ya wao kuwa familia moja!
- I mean I have a lot of respect kwa Vincent, he is young and very smart na A leader, na I have no question about Mkapa's leadership skills, lakini najua for a fact sio a politician na yeye mwenyewe alikubali hilo alipokuwa anapewa Urais 1995 alipotaka asiwe Mwenyekiti wa CCM, sasa what went wrong mpaka Vincent kufikia kwenda njia panda ni lazima kuna something Mkapa said ambacho sio sawa!
- Hapo ndipo ninapo-question busara za CCM the giant kumpelekea kule, wakati wanao Vijana wengi sana ambao wangeweza kwenda huko na kukamilisha kazi, I mean I hope itakuwa lesson learned, kama Januari aliwea kushinda jimbo lake kwa kishindo, leo atashindwa nini kushinda huko Arumeru? Na ni lini hawa kina Januari watapewa nafasi hizi?
I mean in a big picture, ya Arumeru ayan raise some serious questions na nia ya Wazee kuaachia Vijana!, yanayo endelea huko ni aibu kwa taifa kwa wana familia ya Baba wa Taifa kuingia kwenye kampeni za kuchafuana kwa kumtumia the very Mwalimu, waliyetuaminisha kwamba wanamjua sana na kumpenda sana na siku zote wamekwua pamoja sana kwenye ishus zako za kifamilia,
I mean kwa nini Madaraka amejitokeza in fulll swing kum-support Vincent? Kuna nini hasa behind this whole thing? Ingekuwa Ughaibuni media isingeishia hapo ilipoishia kama ya kwetu kungefukuliwa mambo mengi sana, sisiemi kwamba kuna ukweli wa tunayoyasikia, lakini ninaaamiini kuna mengi sana yapo chini ya haya tunayoyasikia na tunahitaji kuyajua hili taifa!
ES!
Madaraka kaulizwa na waandishi wa habari, na yeye akaamua kujibu moja tu, nalo ni la uhusiano kati yake yeye na Vincent, huko ni kum support Vincent au kusema ukweli? Sasa kusema kuwa kajitokeza full swing kujibu, basi angejibu maswali yote aliyoulizwa.