Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

Watu wanashangaa hili, Basi niwaambie jingine.. Watu wa Mara kimila anaweza kuoa mke kisha huyo mke akatembea nje ya ndoa na kuzaa mtoto, huyo mtoto bado atakuwa wa mume ktk ndoa japo sii damu yake..
kwani mtu akija, akapanda muembe shambani kwako, unakua wake au wa wa kwako, mwenye aliyepanda??
 
mmmmmmmmmmmmhh!..

mkuu mimi naunga mkono hoja kwenye swala la kwanin mkapa????WHY??...

halaf mkuu hebu uliza vyanzo vyako vya taarifa ..kwamba kwanin siku ya uzinduzi wa kampeni kwa hichi chama chetu tawala..ni the same day mh rais aliongea na sis wazee pale dar...?kwamba hili la arumeru halimuhusu sana hata akazicapture media zote yeye?

Mmmm Hili Nalo Neno.. Kumbe sio mimi tu peke yangu ambae mpaka sasa,nashindwa kupata jibu,WHY.....? Mkapa..Arumeru then JK na Wazee Dar.. same Day.. Ila Baba Mwanaasha ni Mtaalam na yuko vizuri pale linapokuja swala la kafanye hili cuz tunapeana majukumu... huku akijua anakutoa kafara yeye Tulii km Hajui vile..ha,ha,ha,ha...
 
- Je Chadema walimpeleka Vincent huko kwa sababu maalum knowing Mkapa will be there? Na kwa nini neno la kwanza la Mkapa liwe Vincent sio Familia ya Mwalimu? Alikuwa anajihami na nini kwamba msimsikilize huyo sio familia ya Mwalimu? I mean something is not very clear hapo!

- I mean this is the lowest National debate ever kwa sababu so far there is nothing kwa wananchi wa Arumeru na this debate, lakini watu wazima wenye akili timamu ni lazima kukuna vichwa hapa what is behind all this drama in Arumeru?

Es!
 
Mkulu si unajuwa siasa?
Vincent Nyerere amezungumza na watanzania kupitia wana Arumeru, same thing JK anapofanya hivyo kupitia wazee wa darisalama.
 
Mkuu Mkandara hii inaitwa nyumba ntobhu.

Watu wanashangaa hili, Basi niwaambie jingine.. Watu wa Mara kimila anaweza kuoa mke kisha huyo mke akatembea nje ya ndoa na kuzaa mtoto, huyo mtoto bado atakuwa wa mume ktk ndoa japo sii damu yake..
 
Mkuu Mkandara hii inaitwa nyumba ntobhu.
Ngongo Nyumba ntobhu ni pale mwanamke anapooa mwanamke mwenzie na anamruhusu kulala na mwanaume yoyote, au anamchagulia mwanaume na watoto wanaozaliwa wanakuwa mali ya yule mwanamke aliyemuoa mwenzie.
 
Back
Top Bottom