Mkapa, Vincent na Madaraka: What Else?

Mkuu wangu na wewe kaa huijui Bongo. Wakachimbue kaburi ili iweje?
uchimbuzi ninaouzungumzia ni ule wa yale "yaliyojificha" si wa Kaburi la Mwalimu. Kwani kulikoni Mkandara hadi unapindisha hoja zangu?
 
Mimi si kijana kiasi hicho. Nimewahi kushuhudia watu wakichanjiana damu na wengine ni "ndugu" zangu kabisa. Lakini hoja yako nimeshindwa kuiona kabisa. Kama undugu wa Mkapa na kina Nyerere ni wa kuapizana ina maana Mkapa hana hadhi ya kujiita ndugu wa kina Nyerere?
Mkapa ni mwana ndugu kama walivyodai familia ya Nyerere na kuletwa hapa na FMES, ila nilichokupinga ni pale uliposema Mkapa alisema Vicent sio familia ya mwalimu. Kipande hiki hakipo ktk mjadala pia matumizi ya neno adopted sio sahihi kujaribu kutafsiri mila zetu kwa kidhungu, vinafanana kwa chati lakini sii sawa ktk matumizi ya lugha.
 
Familia/Ndugu ni muunganiko wa Kidamu uliopo kati ya watu fulani.Mtoa mada hili swala la mtu kuwa kwenye familia au la,sio la kuwa politicized.It is very obvious,Mkapa ni MMAKONDE Wa mtwara na Nyerere ni MZANAKI Wa Butiama,wapi na wapi? Mkuu siop kila kitu siasa.

Tuweke kumbukumbu sawa. Mkapa si Mmakonde,bali ni Mmakua wa Masasi mwenye asili ya kaskazini ya Msumbiji
 
Kwa wale tuliokuwa watu wazima 1989 tunakumbuka Jinsi Mwalimu alivyolazwa Uingereza kwa matibabu ya Kansa (Saratani) ya damu ambayo hatimaye ndiyo ilikuja kumuua.

Hizi tabia za kusahau mambo ya msingi ndiyo imetufikisha hapa tulipo. Toka 1989 hadi leo 2012 imepita miaka 23 huyu Vincent alikuwa wapi kutuambia kwamba Mkapa amempa Mwalimu Sumu itakayokuja kumuua? Kama amejua siku za hivi karibuni ni nani aliyemwambia? Hivi mwaka 1989 wakati Mwalimu anafanyiwa Opresheni ya kuzuia kansa kusambaa mwilini mwake Mkapa alihusikaje?
sina hakika kama unajua hesabu mkuu mwalim aliekufa 1989 ni yupi? kama nyerere ni 1999 hyo ni mwalim wako wa primary au? tupeni jibu sisi 2tajuaje kama alikufa kwa canser au sumu? cha msingi nkpa atupe jibu sahihi
 
- Mkuu Kigharama vipi mkuu mbona speed sana ndio mnatuogopesha kwamba huko kuna something!

Es!
Siku moja wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, Dr. Kitine alikuwa anataja mtandao wa mafisadi. Kabla ya kuingia kwa undani, Mkapa ambaye Kitine alikuwa Meneja wake wa Kampeni ndani ya CCM, akamuamuru Kitine akae chini.Akiwa bado amepigwa na mshangao Kitine akapokea Kimemo kutoka kwa Mkapa Kimeandikwa "watakuua wewe".

Huyu Mkapa mnayemuona jasiri hata yeye anawaogopa wenye nchi yao!! Kwa nini watu wasifikirie kwamba waliokuwa wanamuona Nyerere tishio ni kundi la wanamtandao na si Mkapa? Hapa kuna kitu kinaendelea cha kujisafisha na anayesafishwa si Mkapa wala Kikwete bali Lowassa!! Take my word.
 
uchimbuzi ninaouzungumzia ni ule wa yale "yaliyojificha" si wa Kaburi la Mwalimu. Kwani kulikoni Mkandara hadi unapindisha hoja zangu?
Dah mkuu wangu mara umekuwa spin master.. Haya jisome mwenyewe..na tuyaache hayana maana kubishana sanaa, mimi nimekwenda kisayansi tu..
Hoja yangu hapa si hicho "kilichojificha" bali "uuaji" wa Mwalimu uliofanywa na Mkapa. Watu wamekomalia hilo na hiyo ni dalili ya watu kuchoka kufikiri. Kama kuna kitu kimejificha waje wachimbaji wakichimbue lakini tusing'ang'anie kwamba Mkapa alimuua Mwalimu!!
 
sina hakika kama unajua hesabu mkuu mwalim aliekufa 1989 ni yupi? kama nyerere ni 1999 hyo ni mwalim wako wa primary au? tupeni jibu sisi 2tajuaje kama alikufa kwa canser au sumu? cha msingi nkpa atupe jibu sahihi
Nani kakwambia Mwalimu alikufa 1989? Hebu soma vizuri nilichoandika halafu urudi tena.
 
Siku moja wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, Dr. Kitine alikuwa anataja mtandao wa mafisadi. Kabla ya kuingia kwa undani, Mkapa ambaye Kitine alikuwa Meneja wake wa Kampeni ndani ya CCM, akamuamuru Kitine akae chini.Akiwa bado amepigwa na mshangao Kitine akapokea Kimemo kutoka kwa Mkapa Kimeandikwa "watakuua wewe".

Huyu Mkapa mnayemuona jasiri hata yeye anawaogopa wenye nchi yao!! Kwa nini watu wasifikirie kwamba waliokuwa wanamuona Nyerere tishio ni kundi la wanamtandao na si Mkapa? Hapa kuna kitu kinaendelea cha kujisafisha na anayesafishwa si Mkapa wala Kikwete bali Lowassa!! Take my word.

- Mwalimu alishasema Chamwino 1995 kuwa Mkapa akimaliza amuachie JK, so hakukuwa na sababu ya Mtandao kuwa na bifu na Mwalimu, na Mkapa by then Mwalimu anakufa hakuwa na anything to do na Mtandao, records zipo very clear, Mtandao walimkaba koo very late, just to put the record straight bro1 tupo pamoja sana tuendelee!

ES!
 
- Mwalimu alishasema Chamwino 1995 kuwa Mkapa akimaliza amuachie JK, so hakukuwa na sababu ya Mtandao kuwa na bifu na Mwalimu, na Mkapa by then Mwalimu anakufa hakuwa na anything to do na Mtandao, records zipo very clear, Myandao walimkaba koo very late, just to put the record straight bro1 tupo pamoja sana tuendelee!

ES!

Mwaka 1995 wakati kina Guninita wanavua mashati ya CCM ulikuwepo mzee? Mwalimu hakusema Mkapa amuachie Kikwete urais huo ni uzushi tu!!
 
Mwaka 1995 wakati kina Guninita wanavua mashati ya CCM ulikuwepo mzee? Mwalimu hakusema Mkapa amuachie Kikwete urais huo ni uzushi tu!!

- mHHHH unasema ni uzushi kwamba JK alishinda kura za kwanza? acha hamaki twende pole pole, unasema JK hakushinda uchaguzi ule?

Es!
 
- Mwalimu alishasema Chamwino 1995 kuwa Mkapa akimaliza amuachie JK, so hakukuwa na sababu ya Mtandao kuwa na bifu na Mwalimu, na Mkapa by then Mwalimu anakufa hakuwa na anything to do na Mtandao, records zipo very clear, Mtandao walimkaba koo very late, just to put the record straight bro1 tupo pamoja sana tuendelee!

ES!
Hapo mkuu wangu umepaka rangi mpya ktk ukuta ulochakaa.. Unajua vizuri kwamba Mkapa na kina Apson waliyafanya mengi sana kufikia 1999 na nakumbuka Nyerere mwenyewe kwa mdomo wake alipokuja hapa alionyesha kutokuwa na imani na Mkapa na kusema hajui kama atapita uchaguzi wa mwaka 2000. Mnatumia nguvu kubwa sana kumsafisha, tuyaogope haya ni ya wana Familia!
 
- Mkuu la Mkapa kuwa familia tumeshalipita, sasa la msingi ni what else wanajua between wao ambacho ni muhimu kwa sisi taifa na hasa wananchi, kama sio Arumeru tungejuaje haya sasa ya wao kuwa familia moja!

- I mean I have a lot of respect kwa Vincent, he is young and very smart na A leader, na I have no question about Mkapa's leadership skills, lakini najua for a fact sio a politician na yeye mwenyewe alikubali hilo alipokuwa anapewa Urais 1995 alipotaka asiwe Mwenyekiti wa CCM, sasa what went wrong mpaka Vincent kufikia kwenda njia panda ni lazima kuna something Mkapa said ambacho sio sawa!

- Hapo ndipo ninapo-question busara za CCM the giant kumpelekea kule, wakati wanao Vijana wengi sana ambao wangeweza kwenda huko na kukamilisha kazi, I mean I hope itakuwa lesson learned, kama Januari aliwea kushinda jimbo lake kwa kishindo, leo atashindwa nini kushinda huko Arumeru? Na ni lini hawa kina Januari watapewa nafasi hizi?

I mean in a big picture, ya Arumeru ayan raise some serious questions na nia ya Wazee kuaachia Vijana!, yanayo endelea huko ni aibu kwa taifa kwa wana familia ya Baba wa Taifa kuingia kwenye kampeni za kuchafuana kwa kumtumia the very Mwalimu, waliyetuaminisha kwamba wanamjua sana na kumpenda sana na siku zote wamekwua pamoja sana kwenye ishus zako za kifamilia,

I mean kwa nini Madaraka amejitokeza in fulll swing kum-support Vincent? Kuna nini hasa behind this whole thing? Ingekuwa Ughaibuni media isingeishia hapo ilipoishia kama ya kwetu kungefukuliwa mambo mengi sana, sisiemi kwamba kuna ukweli wa tunayoyasikia, lakini ninaaamiini kuna mengi sana yapo chini ya haya tunayoyasikia na tunahitaji kuyajua hili taifa!

ES!

Marshall, nisahihi kabisa madaraka kuingia kati lengo kuu ni kuweka sawa kumbukumbu za ukoo nia si vinginevyo na ndiyo maana kajibu kwa ufupi kuwa VN ni mdogo wao mtoto wa baba mdogo period.Asingeingia kati madaraka pengine tungeendelea kumlaumu VN kuwa kwa nini anatumia jina la JKN kujipandisha, laskini kwa sasa records ziko sahihi
 
Ajipandishe kivipi?..kwani kuna kimila cha mtoto wa nani ataheshimiwa siku hizi? hivi baba yake VN hakuwa na nafasi CCM?..
 
- mHHHH unasema ni uzushi kwamba JK alishinda kura za kwanza? acha hamaki twende pole pole, unasema JK hakushinda uchaguzi ule?

Es!
Kweli alishinda kwenye mzunguko wa kwanza lakini hakupata kura zaidi ya asilimia 50 zinazotakikana awe mgombea wa Urais. Alichofanya Mwalimu ni kuwakumbusha wana CCM kwenye mkutano ule kwamba Kikwete hajashinda bali ameongoza na inabidi ashindanishwe na MKapa ili mshindi apatikane!!
 
Madaraka ameweka kumbukumbu katika usawa kwamba vicent ni mtoto wa baba yao mdogo, je hapo kamchafua nani?
 
Mkandara mimi sikuelewi kabisa!! Mimi nakubali kwa asilimia mia kwamba Vincent ni wa ukoo wa Nyerere lakini hatoki kwenye Familia ya Mwalimu Nyerere. Pia nakubaliana na wewe kwamba Mkapa ni ndugu na kina Madaraka kwa YAMINI lakini hazaliwi na mtu yeyote kutoka kweye ukoo wa Nyerere!! Sijui ni wapi tunapopishana hadi udhani kwamba nataka kumsafisha Mkapa.
 
Kama ungesema hivi toka mwanzo tusingefika hapa mkuu nilichosema mimi ni kuweka sawa tu maneno yako. Maana ulisema kwamba Mkapa kasema VN sio familia ya Mwalimu wakati Mkapa hakusema hivyo! wala VN asingekuja na ghadhabu zile.

Tuyaache mkuu wangu yamekwisha, tumeelewa na tuko pamoja ila usitumie nguvu nyingi sana kumsafisha Mkapa maana haya ni ya wana ndugu na wanajua kuliko wewe na mimi unless wewe mwenyewe ni mwana ndugu.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom