Nasimama na machangudoa, ni wapiga kura, walipa kodi, watoa huduma, wazalendo ni wana CCM

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,032
3,913
Habari za wakati huu;

Kwanza niseme nimesikitishwa sana na kitendo cha Polisi wa Mabatini kutumia Excessive Force na kuua Raia asiyekuwa na hatia katika kijiwe pendwa cha the Boardroom pale Sinza Mori mnamo siku kadhaa zilizopita.Kwa kweli kitendo kile kimelifedhehesha jeshi letu, kimelidhalilisha na kimeliumbua na kuonesha uovu wa Jeshi letu.

Ni jambo linalifahamika vizuri kabisa kwamba Jeshi letu la Polisi ni kikundi cha wahalifu waliopewa mafunzo,wakapewa sare na wakapewa silaha pamoja na Ruhusu ya kufanya uhalifu kwak kisingizio cha kuzuia uhalifu.Mifano ipo mingi inayothibitisha hilo ila michache ni kama ifuatavyo.

Bar na Night clubs zote zinazokesha huwa zinatoa mgao wa Fungu kwa wakuu wa vitu vya polisi,mgao ambao huwafikia hadi makamanda ili kuhakikisha kwamba wanafungia macho baadhi ya matukio yanayotokea katika maeneo hayo huku kwa wakati huo wakihakikisha kunakuwa na hali ya utulivu.Ni jambo la kawaida sana.

Hata hivyo huu ni mjadala wa siku nyingine.

Leo nataka nijadili tukio la Polisi kuvamia Kijiwe cha Board Room Pale Sinza Mori ambapo wameua mtu mmoja na kuvuruga amani na utulivu kwa kisingizio cha kutaka kuwakamata machangudoa.

Changudoa ni nani?Changudoa ni mwanamke/binti anayeruhusu mwili wake kutumika Kingoni kwa malipo.Je kinachofanya Changudoa awe changudoa ni nini?Je ni mavazi,Je ni kuwa Bar au night club usiku?Je ni kulala na mwanamke ili alipwe?au ni vyote kwa pamoja? Biashara hii kongwe ni uthibitisho kwamba Sio Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wala yeyote yule mwenye cheo au wadhifa anayeweza kuzuia aina hii ya mahusiano.Ndio maana mpaka leo kuna utaratibu wa kulipa mahari,kutunza mke na kuhonga ambazo kimsingi ni uthibitisho kwamba mahusiano ya kingono ni ya msingi wa nipe nikupe.

Biashara hii ya ukahaba inafanywa kwa ngazi tofauti tofauti na mazingita tofauti.Kuna wale ambao wanafanya huko kwenye maofisi na kupanda vyeo na mishahara kwa kutumia miili yao wapo wengi san na wengine hata kama wana uwezo kiutendaji bado hutumia miili yao ili kuharakisha kupanda kwao.Wapo ambao huenda DODOMA kila kipindi cha vikao vy BUnge ili waende wakagawane Posho na Wabunge maana wanajua wasipoenda Dodoma hawapati kitu.

Wapo ambao huambatana na misafara ya Viongozi wakubwa wa CCM wanapokuwa katika Ziara mikoani na wapo ambao huenda DODOMA kuapokuwa na VIKAO vya CCM. Wapo pia ambao hushiriki katika hamasa ndani ya chama cha CCM wakijiita Hamasa na utawakuta wakiwa na viongozi na wanachama wakiendelea kutoa huduma huku maisha yakiendelea na kujijenga kisiasa.Kwa wachache waliokuwa wanatumia kichwa au wenye elimu wametumi njia hiyo hiyo na kuoanda ngazi ndani ya chama na serikali mpaka wamefikia ngazi nzuri tu za uongozi.

Kiufupi hawa tunao waita machangaduo ndio wapiga kura,wafanya kampeni,walipa kodi na wazalendo namba moja katika Serikali na Taifa letu.Wanachangia katika pato la TAIFA kwa kiwango ambacho ni ngumu sana kwa matu mwingine kuelewea ila kiufupi kila BAR na NIGHT CLUB inayokesha huwa inachnagia sana katika mapato ya serikali kuu na serikali za mitaa kwa njia ya moja kwa moja na isiyo ya moja kwa moja.

Swali la kujiuliza ni kwa nini Wanapigwa VITA hawa watu?Ni kwa sababu ya kutafuta kiki ya kisiasa.SASA hawa wahalifu waliopewa SARE na SILAHA wanatumwa na kwenda bila kutazama PGO matokeo yake sasa wanajikuta wamebebshwa MURDER CASE.

Mimi binafsi nasimama na hawa dada zetu ambao baada ya serikali ya CCM kushindwa kuwaajiri wameamua kutumia kile ambacho Mungu amewapa ili wasongeshe maisha.

Serikali ya CCM imeshindwa kutafuta suluhu ya kiuchumi na kuendelea kujilimbikizia PESA,Mamlaka na Utajiri huku ikiwaacha kina dada hawa wakiendelea kuzama katika umaskini.

Na wao wameamua kujiongeza na kuwa watoa huduma. Huu ni uthibitisho kwamba Serikali ya CCM imeshindwa kwa kiwango cha JUU kabisa katika kutimiza wajibu wake wa msingi wa kuinua na kuboresha maisha ya wa tu wake.

Mimi natambua kwamba wapo machangudoa ambao wanawapa watoto wao elimu nzuri kwa kupitia kazi hiyo hiyo,Wanaishi mjini, wanalipa kodi, wanatunza wazazi wao,wanaishi maisha ya Standard kuliko hata watumishi wa umma kwa kupitia kazi yao hii na wateja wao ni wale wafujaji wa pesa za umma na wala rushwa wa nchi na wale wanaoipiga 10 percent kwenye deals za serikali pamoja na watu maarufu katika jamii.

Inatosha nikisema kwamba nasimama nao na kwamba ninawapa moyo kwamba ikitokea tena siku ingine wamewaingilia eneo lao la kazi kwakisingizio cha Amri ya RC basiwafanye kama yule DOGO wa KAWE alivyomfanyia yule jamaa mwingine.Taratibu tu watu wataelewa kwamba sisi kama taifa tunapaswa kuheshimiana,kuthaminiana badala ya kutishiana,kuoneana na kudharauliana.

PS.

Kama watanzania mkijifunza solidarity ya Machangaduo naamini kabisa Hata Katiba yetu tutaipata,na Serikali itajifunza kuheshimu na kusikiliza Raia.Tuongeze kasi kidogo nasi tutafika huko ni swala la MUDA.

Apumzika Kwa Amani aliyefariki katika tukio hili.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu Awalinde.
 
Wengi ni wasomi wazuri tu waliopoteza dira sababu ajira hakuna, imebidi wajiongeze tu hakuna namna

Wakishakusanya mitaji wanafungua maduka ya nguo, viatu, vitenge, vyombo vya majumbani, biashara za matunda, mamalishe, genge, Mobile money, nk Ila Giza likiingia mishe zinaendelea km kawaida
 
Sio wajibu wala kazi ya serikali kufuatilia mambo ya watu wazima ambao ni machangudoa, waliovaa nguo fupi, mashoga
 
Sio wajibu wala kazi ya serikali kufuatilia mambo ya watu wazima ambao ni machangudoa, waliovaa nguo fupi, mashoga
Washughulikie Mambo ya msingi km ongezeko la ajira kwa vijana wanaopitia msoto hawana ajira mtaani sio kukomaa na watu wazima wanaotambua nini wanafanya, viungo ni vya kwao acha wafanye wanavyotaka wakiwashika watawasaidia nini hakuna wanachowasaidia zaidi ya kuwaongezea matatizo tu
 
Habari za wakati huu;

Kwanza niseme nimesikitishwa sana na kitendo cha Polisi wa Mabatini kutumia Excessive Force na kuua Raia asiyekuwa na hatia katika kijiwe pendwa cha the Boardroom pale Sinza Mori mnamo siku kadhaa zilizopita.Kwa kweli kitendo kile kimelifedhehesha jeshi letu,kimelidhalilisha na kimeliumbua na kuonesha uovu wa Jeshi letu.

Ni jambo linalifahamika vizuri kabisa kwamba Jeshi letu la Polisi ni kikundi cha wahalifu waliopewa mafunzo,wakapewa sare na wakapewa silaha pamoja na Ruhusu ya kufanya uhalifu kwak kisingizio cha kuzuia uhalifu.Mifano ipo mingi inayothibitisha hilo ila michache ni kama ifuatavyo.

Bar na Night clubs zote zinazokesha huwa zinatoa mgao wa Fungu kwa wakuu wa vitu vya polisi,mgao ambao huwafikia hadi makamanda ili kuhakikisha kwamba wanafungia macho baadhi ya matukio yanayotokea katika maeneo hayo huku kwa wakati huo wakihakikisha kunakuwa na hali ya utulivu.Ni jambo la kawaida sana.

Hata hivyo huu ni mjadala wa siku nyingine.

Leo nataka nijadili tukio la Polisi kuvamia Kijiwe cha Board Room Pale Sinza Mori ambapo wameua mtu mmoja na kuvuruga amani na utulivu kwa kisingizio cha kutaka kuwakamata machangudoa.

Changudoa ni nani?Changudoa ni mwanamke/binti anayeruhusu mwili wake kutumika Kingoni kwa malipo.Je kinachofanya Changudoa awe changudoa ni nini?Je ni mavazi,Je ni kuwa Bar au night club usiku?Je ni kulala na mwanamke ili alipwe?au ni vyote kwa pamoja?Biashara hii kongwe ni uthibitisho kwamba Sio Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wala yeyote yule mwenye cheo au wadhifa anayeweza kuzuia aina hii ya mahusiano.Ndio maana mpaka leo kuna utaratibu wa kulipa mahari,kutunza mke na kuhonga ambazo kimsingi ni uthibitisho kwamba mahusiano ya kingono ni ya msingi wa nipe nikupe.

Biashara hii ya ukahaba inafanywa kwa ngazi tofauti tofauti na mazingita tofauti.Kuna wale ambao wanafanya huko kwenye maofisi na kupanda vyeo na mishahara kwa kutumia miili yao wapo wengi san na wengine hata kama wana uwezo kiutendaji bado hutumia miili yao ili kuharakisha kupanda kwao.Wapo ambao huenda DODOMA kila kipindi cha vikao vy BUnge ili waende wakagawane Posho na Wabunge maana wanajua wasipoenda Dodoma hawapati kitu.Wapo ambao huambatana na misafara ya Viongozi wakubwa wa CCM wanapokuwa katika Ziara mikoani na wapo ambao huenda DODOMA kuapokuwa na VIKAO vya CCM. Wapo pia ambao hushiriki katika hamasa ndani ya chama cha CCM wakijiita Hamasa na utawakuta wakiwa na viongozi na wanachama wakiendelea kutoa huduma huku maisha yakiendelea na kujijenga kisiasa.Kwa wachache waliokuwa wanatumia kichwa au wenye elimu wametumi njia hiyo hiyo na kuoanda ngazi ndani ya chama na serikali mpaka wamefikia ngazi nzuri tu za uongozi.

Kiufupi hawa tunao waita machangaduo ndio wapiga kura,wafanya kampeni,walipa kodi na wazalendo namba moja katika Serikali na Taifa letu.Wanachangia katika pato la TAIFA kwa kiwango ambacho ni ngumu sana kwa matu mwingine kuelewea ila kiufupi kila BAR na NIGHT CLUB inayokesha huwa inachnagia sana katika mapato ya serikali kuu na serikali za mitaa kwa njia ya moja kwa moja na isiyo ya moja kwa moja.

Swali la kujiuliza ni kwa nini Wanapigwa VITA hawa watu?Ni kwa sababu ya kutafuta kiki ya kisiasa.SASA hawa wahalifu waliopewa SARE na SILAHA wanatumwa na kwenda bila kutazama PGO matokeo yake sasa wanajikuta wamebebshwa MURDER CASE.

Mimi binafsi nasimama na hawa dada zetu ambao baada ya serikali ya CCM kushindwa kuwaajiri wameamua kutumia kile ambacho Mungu amewapa ili wasongeshe maisha.Serikali ya CCM imeshindwa kutafuta suluhu ya kiuchumi na kuendelea kujilimbikizia PESA,Mamlaka na Utajiri huku ikiwaacha kina dada hawa wakiendelea kuzama katika umaskini.Na wao wameamua kujiongeza na kuwa watoa huduma.Huu ni uthibitisho kwamba Serikali ya CCM imeshindwa kwa kiwango cha JUU kabisa katika kutimiza wajibu wake wa msingi wa kuinua na kuboresha maisha ya wa tu wake.

Mimi natambua kwamba wapo machangudoa ambao wanawapa watoto wao elimu nzuri kwa kupitia kazi hiyo hiyo,Wanaishi mjini,wanalipa kodi,wanatunza wazazi wao,wanaishi maisha ya STandard kuliko hata watumishi wa umma kwa kupitia kazi yao hii na wateja wao ni wale wafujaji wa pesa za umma na wala rushwa wa nchi na wale wanaoipiga 10 percent kwenye deals za serikali pamoja na watu maarufu katika jamii.

Inatosha nikisema kwamba nasimama nao na kwamba ninawapa moyo kwamba ikitokea tena siku ingine wamewaingilia eneo lao la kazi kwakisingizio cha Amri ya RC basiwafanye kama yule DOGO wa KAWE alivyomfanyia yule jamaa mwingine.Taratibu tu watu wataelewa kwamba sisi kama taifa tunapaswa kuheshimiana,kuthaminiana badala ya kutishiana,kuoneana na kudharauliana.

PS.

Kama watanzania mkijifunza solidarity ya Machangaduo naamini kabisa Hata Katiba yetu tutaipata,na Serikali itajifunza kuheshimu na kusikiliza Raia.Tuongeze kasi kidogo nasi tutafika huko ni swala la MUDA.

Apumzika Kwa Amani aliyefariki katika tukio hili

Mungu ibariki Tanzania,Mungu Awalinde.
Kinachofanyika hapa kwasasa ni kumharibia mtia Nia was urais 2025 aonekane hafai mapema kabisa!!

Ishu sio polisi ishu wameamua kumharibia mwenye mamlaka!!
 
Mkuu ungetoa na connection sasa. Hata namba ukisema yuko Tabata, Buza, Mbezi n.k kusimama nao tu ivyoivyo kwa maneno matupu hata wao hawafurahii kiivyo
 
Hata Mpanda mtaa wa Simba na fisi....Hii mambo .na machimbo yetu ya kujipoza ....ma wivu tu ...basubiri resheni zao tu huko makambini
 
Back
Top Bottom