trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,920
- 2,199
oya hamuweki mizigo leo ?
Huwezi kushinda hizo helaWadau mimi nina swali?
Hivi ikatokea bahati ume bet then ukashinda billions huko mfano bilioni 1 au 2 au hata 3. Hizi betting companies zinaweza kukulipa kweli hiyo hela? Mfano labda unatumia 1xbet, betpawa au betway. Kuna uwezekano ukalipwa hiyo hela? Ikiwa umeshinda mkwanja mrefu
Hizo billions ni pesa ndogo sana kwa wahindiWadau mimi nina swali?
Hivi ikatokea bahati ume bet then ukashinda billions huko mfano bilioni 1 au 2 au hata 3. Hizi betting companies zinaweza kukulipa kweli hiyo hela? Mfano labda unatumia 1xbet, betpawa au betway. Kuna uwezekano ukalipwa hiyo hela? Ikiwa umeshinda mkwanja mrefu
hatuna uhakika na mikekaLeo weekend Uzi hautembei kabisa, game nazo za kumtafuta kwa tochi aisee
hata kwa waqfrika piaHizo billions ni pesa ndogo sana kwa wahindi
Ni kweli hata kwetu waafrika ni pesa ya kawaida ila Namaanisha katika dunia ya betting tumempa jina la muhindi yeyote anaye miliki kampuni ya betting.hata kwa waqfrika pia
Tulikuwa tunawatania tu wao wamesusa mazima π€£π€£π€£. Waooga!Tangu betpawa alivyotoa bonus huu uzi na kama unajifia taratibu tu
Ligi za kina arsenal zinarudi lini?Leo weekend Uzi hautembei kabisa, game nazo za kumtafuta kwa tochi aisee
Nadhani kuanzia ijumaa mpaka pasaka ni sisi tu tunakula maisha na kanjiLigi za kina arsenal zinarudi lini?