Ndugu maofisa ubashiri heri ya krismass na mwaka mpya! Kwa kweli tangu nianze kazi hii ya uofisa ubashiri sijawahi kuwa na mwezi mbaya kama mwezi huu wa 12/2023. Yaani mikeka imechanka hadi inasikitisha.

Tazama, kwa mfano, hii mechi iliyonichania mkeka:
1703501515480.png

Halafu uangalie mechi zilizotangulia jinsi matokeo yalivyokuwa:
1703501914073.png

Siku zote hawafungani magoli zaidi ya 2 lakini tazama lirefa limetoa red card dk ya 44 na kusababisha mkeka wangu kuchanika chanu! Inauma sana.
 
Back
Top Bottom