Safi sana, Onesha Mfano.Dortmund kupata goli kapewa odd 2 turudishe mitaji iliyoliwa leo weka lakin3 upate laki 6
Hata kama ana redcard atapata goli trust
Bora wewe umeona Hata cash out wengine mikeka yote tuliambiwa cash out unavailableLeo nimepigwa Hadi kizunguzungu mbwa mie naitamani hata hii buku 10 niichukue hapo😱
Yaaani hako ndo kamkeka Kangana kilichosalia nakapigia duwaaa Kila time nachungulia chini ya maji mtubwi usije ukapinduliwa na kibokoBora wewe umeona Hata cash out wengine mikeka yote tuliambiwa cash out unavailable
Mi nilikuwa na mmoja tp mazembe na mwenzake wameona washindwe hata 0.5 ili mradi na wao wahusike katika kumchangia kanji siku ya Leo..Yaaani hako ndo kamkeka Kangana kilichosalia nakapigia duwaaa Kila time nachungulia chini ya maji mtubwi usije ukapinduliwa na kiboko
LINKWadau kwa anae jua app inayooneaha game za EPL live nataka nione kama ntaona game ya arsenal
Dortmund kupata goli kapewa odd 2 turudishe mitaji iliyoliwa leo weka lakin3 upate laki 6
Hata kama ana redcard atapata goli trust
Aah wapSitak marafik siwataki mi hela aliyokula bayern imerud
Hii picha inachekesha jaman kubet sio kaz hamskii tu
Tayar hukoBaada ya kupata draw spania (Madrid)
Kichapo kikatembea england na German (man u_ Bayern Munich)
Wacha tuskilizie Italia kutatokea Nini
(Ataranta vs ac Milan)
Tukutane mida ya matusi lasmi