Play master hawajaniwekea Salio langu Toka Jana 4:43am. Nikiwasiliana nao wanasema Kuna changamoto kuweka pesa Kwa kutumia tigo. Nikiwasiliana na tigo wao wanasema niwasiliane na play master. Wenzangu pia mmepitia hii changamoto au ni Mimi TU?
Nilideposit Helabet 5k tangu 14 October mpka leo bila bila . Kitu nimeamini hizi affiliate betting sites Customer support ni Zero
 
1.7 odds zinakulipa kwa siku 3 kama unacheza rollover ya siku 3. unacheza rollover?.

loophole maana yake network izingue, au wachelewe ku-update matokeo halafu upige hela kupitia huo mwanya. au, loophole ni option zinazokupa unafuu, mfano (no overtime, DC, over 0.5, corner n.k), ukipata mechi kadhaa za options zinazokupa unafuu una 1.7 tayari, ila mechi zisiwe nyiiiingiii, 4 kushuka chini zinatosha.

betting ni mchezo unaotaka utumie muda mwingi kurekebisha makosa yako na kupata mbinu mpya.
Hiyo kitu siifahamu, unaweza kunipa maarifa kidogo mkuu?
 
Play master hawajaniwekea Salio langu Toka Jana 4:43am. Nikiwasiliana nao wanasema Kuna changamoto kuweka pesa Kwa kutumia tigo. Nikiwasiliana na tigo wao wanasema niwasiliane na play master. Wenzangu pia mmepitia hii changamoto au ni Mimi TU?
Baada ya masaa 48 ya kazi wataweka.
Shida ni tigo pesa.alafu wabishi sana ukiwapigia

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hela ya leo jumapili hii hapa, msije sema sikuwaambia. Hapa weka hata bandari.

Celtic Glasgow vs Aberdeen FC - over 2.5 goals,

Livingston FC vs Glasgow Rangers - over 2.5 goals,

FC Barcelona vs Deportivo Alaves - Barcelona win,

PSV Eindhoven vs PEC Zwolle - Over 2.5 goals,

Benfica Lisbon vs Sporting Lisbon - over 2.5 goals,

Liverpool FC vs Brentford FC - over 2.5 goals, na

Chelsea FC vs Manchester City - man city win.
 
๐๐š๐ง๐ข๐ค ๐Ž๐ฌ๐ญ๐ซ๐š๐ฏ๐š ๐•๐ฌ ๐€๐œ ๐’๐ฉ๐š๐ซ๐ญ๐š ๐๐ซ๐š๐ ๐ฎ๐ž

๐˜๐ฎ๐ฅ๐ž ๐ฆ๐ฐ๐š๐ฆ๐›๐š ๐ฐ๐š ๐“๐ž๐ฅ๐ฅ๐ž๐ ๐ซ๐š๐ฆ ๐š๐ฆ๐ž๐ฐ๐ž๐ค๐š ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐ ๐š๐ฆ๐ž ๐ฅ๐ž๐จ ๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ฌ๐ข๐ฃ๐ฎ๐ข ๐š๐ฆ๐ž๐ฐ๐ž๐ค๐š๐ฃ๐ž ๐ฆ๐š๐ญ๐จ๐ค๐ž๐จ ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ค๐š๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ข๐ค๐š๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Kuna mechi huwa zinamchachafya bookmarker(sporty) hadi anaamua kubunda tu!...

Hajui aanze na over ngapi!? Hata over 3.5 imekua ya moto kwake!...

Hii ni miongoni mwa mechi zenye magoli mengi kwa siku yaleo!!! ๐Ÿ‘‡ Hata over 4.5 unakula bila wasi! ๐Ÿ‘‡
Ikitoa game hii goli nyingi ni 3 tu.
 
๐๐š๐ง๐ข๐ค ๐Ž๐ฌ๐ญ๐ซ๐š๐ฏ๐š ๐•๐ฌ ๐€๐œ ๐’๐ฉ๐š๐ซ๐ญ๐š ๐๐ซ๐š๐ ๐ฎ๐ž

๐˜๐ฎ๐ฅ๐ž ๐ฆ๐ฐ๐š๐ฆ๐›๐š ๐ฐ๐š ๐“๐ž๐ฅ๐ฅ๐ž๐ ๐ซ๐š๐ฆ ๐š๐ฆ๐ž๐ฐ๐ž๐ค๐š ๐ก๐ข๐ฒ๐จ ๐ ๐š๐ฆ๐ž ๐ฅ๐ž๐จ ๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐š๐ฌ๐š ๐ฌ๐ข๐ฃ๐ฎ๐ข ๐š๐ฆ๐ž๐ฐ๐ž๐ค๐š๐ฃ๐ž ๐ฆ๐š๐ญ๐จ๐ค๐ž๐จ ๐ฆ๐š๐š๐ง๐š ๐ค๐š๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ข๐ค๐š
Away anashinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom